-
Sababu za kuchelewa kutangazwa Waziri Mkuu mpya wa Lebanon na changamoto zake
Aug 28, 2020 22:05Licha ya kupita siku 19 tangu kujiuzulu Waziri Mkuu wa Lebanon, Hassan Diab, bado hadi hivi sasa hakuna mtu mwingine yeyote aliyechaguliwa kushika nafasi hiyo nchini humo.
-
Wafungwa waliosalia wa Taliban kuachiwa, mazungumzo ya amani ya Afghanistan kuanza wiki ijayo
Aug 28, 2020 07:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan imetangaza kuwa, karibuni hivi wafungwa waliosalia wa kundi la Taliban wataachiwa huru.
-
Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu zakubaliana kujenga vituo vya kijasusi Yemen
Aug 28, 2020 02:22Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na utawala wa Kizayuni wa Israel zimesema kuwa zimekubaliana kushirikiana kuanzisha vituo vya ujasusi katika eneo la kistratejia la Socotra huko Yemen. Hiyo ni kufuatia mapatano yaliyofikiwa kati ya Abu Dhabi na Tel Aviv l ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili.
-
Iraq yatoa msimamo rasmi kuhusu mapatano ya UAE na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 27, 2020 06:24Msemaji wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuhusu mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba, hilo ni suala la ndani linalozihusu pande hizo mbili.
-
Hamas: Ghaza inakabiliwa na changamoto 3 kwa wakati mmoja
Aug 27, 2020 02:57Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema, eneo la Ukanda wa Ghaza hivi sasa linakabiliwa na changamoto tatu kwa wakati mmoja. Amesema, hatua inapasa zichukuliwe ili kutatua changamoto hizo.
-
Erdogan: Uturuki haitafumbia macho yake haki zake huko Mediterania Mashariki
Aug 26, 2020 23:34Rais Recep Tayyip Erdiogan wa Uturuki ametahadharisha kuwa hatafikia mapatano yoyote katika eneo la Mediterania Mashariki na amesema kuwa, Ankara imejizatiti kuchukua hatua zozote za lazima za kulinda haki yake katika Bahari Nyeusi, Aegean na Mediterania.
-
Iraq kuendelea kushirikiana na Iran, Syria na Russia kupambana na Daesh
Aug 26, 2020 23:34Kamandi ya operesheni za pamoja nchini Iraq imesisitiza kuwa, nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Iran, Syria na Russia katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh yaani ISIS na kubadilishana taarifa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen: Arab League imepoteza mwelekeo
Aug 26, 2020 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) haina uwezo wa kulinda maslahi ya nchi za Kiarabu mbele ya njama mbalimbali zinaofanywa na utawala haramu wa Israel na washirika wake.
-
Kushadidi maandamano Israel; kukalia kuti kavu Netanyahu na serikali yake
Aug 26, 2020 02:40Malalamiko na maandamano katika Israel za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepewa jina bandia la Israel yameshadidi ambapo nara za waandaanaji sasa zimekwenda mbali zaidi ambapo zinalalamikia muundo wa madaraka.
-
China yaitaka jamii ya kimataifa ishughulikie mgogoro wa Palestina
Aug 26, 2020 01:56Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kupatikana suluhisho la mgogoro wa Palestina.