-
UN: Magaidi 10,000 wa ISIS bado wako katika nchi za Iraq na Syria
Aug 25, 2020 22:30Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa kundi la Daesh yaani ISIS ambao bado wanaendeleza harakati zao za kigaidi katika nchi za Iraq na Syria ikiwa imepita miaka miwili tokea kundi hilo lisambaratishwe katika nchi hizo.
-
Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 25, 2020 07:49Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donal Trump nchini Marekani, nchi hiyo imefanya mambo na kuchukua hatua ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma kwa maslahi ya utawala haramu wa Israel.
-
Mkumi ya maelfu ya askari wa Iraq kushiriki katika ulinzi wa maombolezo ya Ashura
Aug 25, 2020 07:19Mkuu wa Jeshi la Polisi la Karbala Iraq amesema, askari 30 elfu wamewekwa tayari kwa ajili ya kulinda usalama wa wafanya ziara na waombolezaji wa Ashura ya Imam Husain AS.
-
OIC yavunja kimya chake kuhusu kuanzishwa uhusiano na Israel
Aug 25, 2020 03:34Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesema nchi wanachama wake hazitafuata mkondo wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni, hadi pale utawala huo ghasibu utakapoacha kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Mahakama ya Yemen yawahukumu kifo Bin Salman na Bin Zayed
Aug 25, 2020 03:30Mahakama moja nchini Yemen imewahukumu kifo mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman na mrithi wa ufalme wa Imarati, Mohammed bin Zayed, kwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen.
-
Shambulizi la anga la Israel laua shahidi Wapalestina 4 Gaza
Aug 25, 2020 03:28Wapalestina wanne wameuawa shahidi baada ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel kushambulia kwa mabomu maeneo kadhaa ya Palestina huko mashariki mwa Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS yaionya Israel kuhusiana na kushadidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina
Aug 24, 2020 23:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kushadidisha mashambulio na mzingiro wake dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah ya Lebanon yatungua ndege ya kijasusi ya Israel
Aug 24, 2020 07:26Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Utovu wa ubinadamu wa Uturuki wa kuwafungia maji Wasyria wa Al Hasakah katika msimu wa joto kali
Aug 24, 2020 06:54Uturuki na magaidi inaowaunga mkono wanaendeleza malengo yao ya kujipanua kijiopolitiki ndani ya ardhi ya Syria kwa kutumia mbinu isiyo na chembe ya ubinadamu ya kuwafungia maji raia wa nchi hiyo katika mkoa wa Al Hasakah.
-
Machafuko ya Basra Iraq, sababu na malengo yake
Aug 23, 2020 22:03Mji wa bandari wa Basra wa kusini mwa Iraq unaendelea kushuhudia machafuko kiasi kwamba Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mustafa al Kadhimi, amelazimika kwenda haraka katika mkoa huo mara baada ya ziara yake ya nchini Marekani.