-
Allawi atahadharisha kuhusu njama za Marekani dhidi ya Iraq
Aug 23, 2020 21:58Mkuu wa Muungano wa al Wataniya wa Iraq amesema kuwa Marekani ikishirikiana na Uingereza na Ufaransa, inaongoza njama dhidi ya Iraq kwa kisingizio cha muungano wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Serikali ya Israel yakaribia kusambaratika baada ya mizozo kuongezeka
Aug 23, 2020 06:57Duru za habari kutoka Israel zinaripoti kuwa, hitilafu na mivutano katika baraza la mawaziri la utawala huo ghasibu zimeshadidi mno na kwamba, serikali hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu imekaribia kusambartika.
-
Kushadidi tofauti baina ya Uturuki na UAE na hatari ya kuharibika zaidi uhusiano wa nchi mbili
Aug 23, 2020 03:33Uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Falme za Kiarabu unaelekea kuharibika zaidi baada ya Mkuu wa Mashtaka wa serikali ya Ankara kuiomba Polisi ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai INTERPOL imtie nguvuni Mohammed Dahlan, mshauri wa Mohammed bin Zayed, mrithi wa ufalme wa Imarati.
-
Nasrullah: Mapambano ya Hizbullah hayaishii ndani ya mipaka ya Lebanon
Aug 23, 2020 03:20Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kutekeleza majukumu kwa ajili ya kuisaidia jamii yote ya wanadamu ni jambo la wajibu kwa mujibu wa thamani za Uislamu, na kwamba mipaka ya kijografia na kisiasa haipaswi kuwa kizingiti cha kutekeleza wajibu huo.
-
Watu 6 wauawa na kujeruhiwa katika miripuko miwili ya mabomu nchini Iraq
Aug 22, 2020 03:12Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea mashariki na kaskazini mwa Iraq imepelekea askari sita wa kikosi cha kupambana na ugaidi kuuawa na kujeruhiwa.
-
Sheikh Naim Qassim: Hizbullah haitoruhusu Israel iivamie Lebanon
Aug 22, 2020 03:12Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya Kiislamu kamwe haitoiruhusu Israel na waungaji mkono wake waivamie tena Lebanon.
-
Wanajeshi 11 wa Yemen waachiliwa huru
Aug 22, 2020 03:10Mkuu wa Kamati ya Taifa ya Masuala ya Mateka wa Kivita ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ametangaza habari ya kuachiliwa huru maafisa 11 wa jeshi waliokuwa wametekwa nyara.
-
Migawanyiko ya kisiasa yazidi Iraq baada ya safari ya Waziri Mkuu Al Kadhimi nchini Marekani
Aug 22, 2020 03:02Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi nchini Marekani na mkutano wake na Rais Donald Trump wa nchi hiyo huku kukiwa na mgongano wa wazi baina ya "yale yanayosemwa" na "uhalisia wa mambo."
-
Al Kadhimi: Wanajeshi wa Marekani wataondoka Iraq katika kipindi cha miaka mitatu
Aug 21, 2020 22:28Waziri Mkuu wa Iraq ameeleza yaliyojiri katika mazungumzo yake na viongozi wa Marekani katika safari yake nchini humo akisema kwamba: Trump amesisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani wataondoka Iraq katika muda wa miaka mitatu ijayo.
-
Ismail Haniya: Makubaliano ya Imarati na Israel ni ‘kulipiga jambia kwa nyuma’ taifa la Palestina
Aug 21, 2020 22:28Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali makubaliano ya Imarati na utawala haramu wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na kusisitiza kwamba, ndoto za alinacha ndizo zilizoufanya utawala wa Abu Dhabi kuchukua hatua kama hiyo, lakini kutaandaliwa mkakati wa kitaifa kwa ajili ya kukabiliana na hatua hiyo.