-
Asilimia 65 ya wasio wazungu hawana imani na polisi na mahakama za Uingereza
Aug 21, 2020 22:27Uchunguzi wa maoni uliofanyka nchini Uingereza umeonesha kuwa, asilimia 65 ya raia wasio wazungu wa nchi hiyo wanaamini kuwa, polisi ya nchi inawapendelea wazungu.
-
Amnesty yaitaka Saudia imwachie huru mwakilishi wa Hamas na mwanawe
Aug 21, 2020 07:15Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty international limeeleza wasiwasi wake kuhusu afya ya mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, anayeshikiliwa jela nchini Saudi Arabia akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani.
-
Sifa tatu kuu za siasa za Ulimwengu wa Kiarabu katika mwaka uliopita wa 1441 Hijria Qamaria
Aug 21, 2020 05:20Mwaka 1442 Hijria Qamaria umeanza leo tarehe Mosi Muharram baada ya kumalizika mwaka 1441 Hijria ambao ulitawaliwa na vurugu za kisiasa, kuporomoka kwa maadili ya kisiasa na kuongezeka zaidi utegemezi wa nchi za Kiarabu kwa nchi za Magharibi.
-
Nasrullah: Utawala wa Kizayuni ndilo tishio lenye umuhimu zaidi kwa eneo la Asia Magharibi
Aug 21, 2020 03:44Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndilo tishio lenye umuhimu zaidi kwa eneo la Asia Magharibi.
-
Makundi ya Muqawama Iraq: Wamarekani wasipoondoka, hawatosalimika na mashambulio yetu
Aug 21, 2020 03:44Makundi ya muqawama ya Iraq yamesisitiza ulazima wa wanajeshi wa Marekani kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo na kuonya kuwa, ikiwa hilo halitofanyika, yataanzisha makabiliano ya kijeshi dhidi yao.
-
Wanaharakati wa Imarati wapinga hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kufikia mapatano na utawala wa Kizayuni
Aug 20, 2020 19:38Wanaharakati wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wameyataja mapatano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili kuwa ni kukiuka katiba na na kupuuza msimamo wa viongozi wa mwanzo wa Imarati katika kuinga mkono Palestina.
-
HAMAS: Msikiti wa al-Aqswa uteandelea kubakia kuwa mstari mwekundu wa Waislamu
Aug 20, 2020 07:06Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, Msikiti wa al-Aqswa utaendelea kubakia kuwa mstari mwekundu wa Waislamu na kwamba, kila mkono wenye lengo la kuuvunjia heshima msikiti huo utakatwa.
-
UN: Bila msaada wa haraka wa fedha, maelfu ya watoto wanaweza kufariki dunia Yemen
Aug 20, 2020 03:39Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu nchini Yemen ametahadharisha kuwa maelfu ya watoto wanaweza kufariki dunia iwapo misaada ya haraka ya fedha haitatolewa ili kukabiliana na hali mbaya ya kibinadamu inayoikabili nchi hiyo.
-
Malengo ya safari ya Mustafa al Kadhimi nchini Marekani
Aug 20, 2020 03:30Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al Kadhimi amewasili Washington kwa safari ya kikazi ya siku mbili na leo Alkhamisi tarehe 20 Agosti alitazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Ayatullah Jannati: Kuanzisha uhusiano na Israel hakutausaidia utawala huo haramu na kuufanya ubakie
Aug 19, 2020 22:04Mkuu wa Baraza la Wanazuoni Wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema kuwa, kuanzisha na kutangaza wazi kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel hakuwezi kuusadia utawala huo ghasibu na kuufanya ubakie.