-
HAMAS: Tutatumia nyenzo zote kwa ajili ya kuusambaratisha mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza
Aug 19, 2020 22:03Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama itatumia suhula na nyenzo zote ili kuusambaratisha mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS yaomba mabunge na viongozi wa dunia waisaidie na kuiunga mkono Palestina
Aug 19, 2020 06:27Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameyataka mabunge duniani pamoja na viongozi wa kisiasa watoe msaada na uungaji mkono kwa kadhia ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na njama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Imran Khan: Pakistan kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel
Aug 19, 2020 05:26Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa nchi yake kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel.
-
Sudan yakanusha taarifa kuhusu mazungumzo na Israel
Aug 19, 2020 03:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imekanusha kauli aliyoitoa msemaji wake kuhusu mawasiliano kati ya Sudan na utawala bandia wa Israel kwa ajili ya kusaini makubaliano ya amani.
-
Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia Ukanda wa Ghaza
Aug 18, 2020 03:00Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni leo asubuhi zimeshambulia ngome za harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza.
-
'Marekani kumtawaza Ufalme Bin Salman baada ya Saudia kuanzisha rasmi uhusiano na Israel'
Aug 17, 2020 23:20Mfichuaji mashuhuri wa siri za aila ya kifalme ya Aal Saud amefichua kuwa, Marekani imemwahidi mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammad bin Salman kuwa itamwezesha kushika ufalme huo baada ya nchi hiyo kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sisitizo la Taliban la kufanya mazungumzo na serikali na makundi ya Kiafghani
Aug 17, 2020 19:57Kundi la Taliban nchini Afghanistan limetangaza kuwa mbali na serikali ya Kabul litafanya pia mazungumzo na makundi yote ya Kiafghani.
-
Uhusiano wa UAE na Israel unalenga kutoa pigo kwa Muqawama na malengo matukufu ya Palestina
Aug 17, 2020 08:46Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, lengo la makubaliano yaliyofikiwa baina ya Imarati na utawala wa Kizayuni ni kutoa pigo la kuudhuru muqawama na malengo matukufu ya Palestina.
-
Msafara wa silaha na zana za kijeshi za Marekani kutoka Kuwait waingia Basra, Iraq
Aug 17, 2020 08:44Duru moja ya masuala ya usalama ya Iraq imeripoti kuwa, msafara wa malori ya kijeshi ya Marekani yaliyosheheni silaha na zana nyingi za kijeshi umeingia katika ardhi ya nchi hiyo kwa lengo la kuhamishia silaha na zana hizo katika kituo cha kijeshi cha Ainul-Asad.
-
Muungano vamizi wa Saudia umezitia bandari za Yemen hasara ya dola bilioni mbili
Aug 17, 2020 08:43Shirika la Bandari za Bahari Nyekundu la Yemen limetangaza kuwa, tangu muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia ulipoanzisha hujuma na mashambulio dhidi ya Yemen hadi sasa, umesha zisababishia bandari za nchi hiyo hasara ya zaidi ya dola bilioni mbili.