-
Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel
Aug 14, 2020 05:04Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kuwa balozi wa Palestina mjini Abu Dhabi ameitwa nyumbani kulalamikia hatua ya Imarati ya kuanzisha rasmi uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Mapatano ya aibu na usaliti kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 14, 2020 04:29Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, utawala ghasibu wa Israel na Marekani zimetoa taarifa ya pamoja zikitangaza kwamba Imarati na utawala haramu wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yazo.
-
Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yalaani mapatano ya kuaibisha ya UAE na Israel
Aug 13, 2020 22:43Makundi ya kupigania ukombozi wa Paelstina yametoa taarifa kadhaa za kulaani vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Imarati yafanya njama za kubadili utambulisho wa kisiwa cha Socotra
Aug 13, 2020 22:28Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ambayo umekivamia na kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Socotra huko Yemen unafanya mikakati ya kubadili utambulisho wa kisiwa hicho.
-
Ukosoaji wa Rais wa Syria kwa sera za Marekani, Uturuki na Utawala wa Kizayuni dhidi ya nchi yake
Aug 13, 2020 22:23Rais Bashar al Assad wa Syria amekosoa sera za Marekani, Uturuki na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi yake na kuitaja sheria ya Marekani ya Caesar kuwa ni "Uharamia wa Baharini".
-
Bunge la Lebanon laidhinisha sheria ya Hali ya Hatari Beirut, lalipa jeshi mamlaka maalumu
Aug 13, 2020 09:28Bunge la Lebanon limeidhinisha utekelezaji wa sheria ya hali ya hatari katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut kufuatia tukio la mripuko katika bandari ya Beirut uliosababisha hasara kubwa ya mali na roho za watu.
-
Yemen yawasilisha mashtaka Umoja wa Mataifa dhidi ya Saudi Arabia
Aug 12, 2020 23:02Spika wa Bunge la Yemen amesema kuwa uhalifu unaofanywa na Saudi Arabia na washirika wake nchini humo na kuendelezwa mzingiro wa nchi hiyo haviwezi kuhalalishwa kw njia yoyote ile.
-
Hamas na Jihad Islami zasisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya Israel
Aug 12, 2020 23:01Harakati za mapambano ya ukombozi wa Palestina za Hamas na Jihad Islami zimetilia mkazo udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel na kufanya jitihada kubwa za kuondoa mzingiro wa utawala huo dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza.
-
Yemen yakosoa hatua ya UN ya kuiondoa Saudia katika orodha ya wauaji wa watoto
Aug 12, 2020 07:00Waziri Mkuu wa Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen amekosoa hatua ya Umoja wa Mataifa ya kuiondoa Saudi Arabia katika orodha ya wauaji wa watoto.
-
OIC yaitaka jamii ya kimataifa ikabiliane na siasa za ukandamizaji za Israel
Aug 12, 2020 03:28Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kukabiliana na siasa za ukandamizaji na utoaji adhabu wa halaiki zinazotekelezwa na utawala haramu wa Israel.