-
Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria
Jul 12, 2020 23:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amekosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria.
-
Mrengo wa al-Fat'h Iraq: Serikali iharakishe mashtaka dhidi ya Marekani UN kwa mauaji ya Al-Muhandis
Jul 12, 2020 23:37Muungano wa al-Fat'h katika Bunge la Iraq umeitaka serikali iharakishe mchakato wa kuwasilisha rasmi mashtaka Umoja wa Mataifa ya jinai iliyofanywa na Marekani ya kumuua kigaidi Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa al-Hashdu-Sha'abi.
-
Mkuu wa Intelijensia wa serikali ya uwokovu ya Yemen: Tunakaribia kuingia Ma'rib
Jul 12, 2020 23:37Mkuu wa timu ya intelijensia ya serikali ya uwokovu wa kitaifa ya Yemen amesema: "Hivi sasa tukiwa tumeandamana na makabila yote ya Yemen tunakaribia kuingia mji wa Ma'rib na karibuni hivi tutaingia katika mji huu."
-
Hizbullah: Marekani inabeba dhima ya matatizo yote ya Asia Magharibi
Jul 12, 2020 03:19Mkuu wa Baraza la Shuraa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya kupata matatizo nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq
Jul 12, 2020 03:08Msafara wa magari ya kijeshi ya Marekani umeshambuliwa kwa mabomu ya kuelekezwa kutoka mbali (VBIED) baina ya barabara ya Samawah na Diwaniyah, kusini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
WFP: Wayemen milioni 10 wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
Jul 11, 2020 06:34Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema wananchi milioni 10 wa Yemen wanaandamwa na ubaha mkubwa wa chakula.
-
Hizbullah: Katika kamusi yetu hakuna kitu kinachoitwa 'kusalimu amri'
Jul 11, 2020 02:31Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, harakati hiyo pamoja na washirika wake hawataruhusu Marekani na vibaraka wake waitumbukize Lebanon katika ombwe la uongozi na mzozo wa kisiasa.
-
Wananchi wa Jordan waandamana na kulaani mpango wa Israel wa kupora ardhi ya Palestina
Jul 11, 2020 02:30Maelfu ya wananchi wa Jordan wameandamana na kutangaza upinzani wao dhidi ya mpango wa utawala haramu wa Israel wa kutaka kutwaa asilimia 30 ya eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi na kuliunganisha na ardhi nyingine zilizoghusubiwa za Palestina.
-
Saudia yakosolewa kwa kuruhusu maonyesho ya mitindo ya kifuska Madina
Jul 10, 2020 20:13Utawala wa Saudia Arabia, ambao watawala wake kwa muda mrefu wanajinadi kuwa eti ni 'wahudumu wa maeneo mawili matakatifu ya Waislamu ya Makka na Madina' umekosolewa vikali kwa kuruhusu maonyesho ya mavazi ya kifuska katika mji mtukufu wa Madina.
-
Ansarullah yapinga mapendekezo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen
Jul 10, 2020 20:12Harakati ya Ansarullah ya Yemen imepinga mpango uliopendekezwa na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo, Martin Griffiths kuhusu mgogoro wa Yemen ikisema unapendelea muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.