-
Rais wa Ufaransa aitaka Israel iachane na mpango wake wa kupora ardhi zaidi za Palestina
Jul 10, 2020 07:21Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amemtaka Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu aachane na mpange wake wa kutaka kutwaa asilimia 30 ya eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi na kuliunganisha na ardhi nyingine zilizoghusubiwa za Palestina.
-
HAMAS: Kuuawa shahidi wapalestina ni ishara ya kushikamana kwao na muqawama
Jul 10, 2020 07:18Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, kuuawa shahidi Wapalestina ni ishara ya wazi ya kushikamana kwao na mapambano na muqawama dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Makubaliano ya pande zote ya Iran na Syria, maonyesho ya nguvu ya kambi ya Muqawama
Jul 10, 2020 01:54Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria ambazo ni washirika wa kistratijia katika eneo la Asia magharibi zimesaini makubaliano ya ushirikiano kamili katika nyanya za kiulinzi, kiusalama na kijeshi.
-
UN yataka kuachiwa huru wanaharakati wanawake walioko jela Saudi Arabia
Jul 09, 2020 22:37Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limezitaka nchi nyingine duniani kuiwekea Saudi Arabia mashinikizo ili kuwaachia huru wanaharakati wa kijamii wanawake waliofungwa jela nchini humo.
-
Hashtagi ya "Masharifu Wawili, Nembo ya Heshima Yetu" yaanzishwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Iraq
Jul 09, 2020 21:55Watumiaji wa mitandao ya kijamii katika nchi za Iran na Iraq wameanzisha kampeni kwenye mitandao hiyo, ya hashtagi ya #Masharifu Wawili _ Ali Wawili _ Nembo ya Heshima Yetu, wakisisitizia umoja na mshikamano wa nchi mbili katika kukabiliana na maadui.
-
Uturuki yavamia tena ardhi ya Syria, mara hii msafara wa malori 70 ya kijeshi waingia mkoani Idlib
Jul 09, 2020 21:54Misafara mitatu ya jeshi la Uturuki ya malori yaliyosheheni zana za kijeshi imevuka mpaka wa mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria na kuingia ndani ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Yemen inakabiria kukumbwa na wimbi jingine la njaa
Jul 09, 2020 03:12Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen ametahadharisha kwamba, nchi hiyo inakaribia kukumbwa na baa jingine la njaa kutokana na kupungua mno bajeti ya misaada ya kibinadamu kwa ajili ya nchi hiyo.
-
Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu hali ya ndani na ya siasa za kigeni ya Lebanon
Jul 09, 2020 02:31Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Jumanne usiku alitoa hotuba muhimu na kuzungumzia hali ya ndani na siasa za kigeni za nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kuuliwa kigaidi mtaalamu bingwa wa masuala ya kisiasa na kiusalama wa Iraq
Jul 08, 2020 19:39Hisham al Hashimi, mtaalamu bingwa wa masuala ya kisiasa na kiusalama wa nchini Iraq ameshambuliwa na kuuliwa kigaidi baada ya kufanyiwa mahojiano na televiseni moja ya nchi hiyo. Baada ya kutokea mauaji hayo ya kigaidi, kumezuka fikra mbili nchini Iraq za waungaji mkono wa kuweko wanajeshi vamizi wa Marekani nchini humo na wapinzani wa muqawama wa wananchi wa Iraq.
-
Sayyid Nasrullah: Iran imeweza kupiga hatua licha ya vikwazo
Jul 08, 2020 03:35Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kupiga hatua za maendeleo na ustawi licha ya vikwazo na mashinikizo ya maadui.