-
Sayyid Nasrullah: Iran imeweza kupiga hatua licha ya vikwazo
Jul 08, 2020 03:35Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kupiga hatua za maendeleo na ustawi licha ya vikwazo na mashinikizo ya maadui.
-
Syria yawakamata magaidi wanaofungamana na Marekani
Jul 07, 2020 22:33Jeshi la Syria limetangaza kutekeleza oparesheni ambayo imepelekea kukamatwa wanachama wa kundi la kigaidi ambalo linafungamana na Marekani mashariki mwa nchi hiyo.
-
Hamas, Hizbullah: Mpango wa Israel wa kughusubu ardhi ni hujuma dhidi ya Wapalestina
Jul 07, 2020 03:32Harakati za muqawama wa Kiislamu za Hamas ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon zimepinga vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kutwaa na kughusubu ardhi ya Palestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusisitiza kuwa, uporaji huo ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Wapalestina.
-
Sisitizo la Uturuki la kutokuwa Saudia na ustahiki wa kushughulikia faili la mauaji ya Khashoggi
Jul 07, 2020 03:22Wakati Uturuki inaendelea kufuatilia faili la kesi ya watu waliomuua Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa vikali utawala wa Aal Saud, maafisa wa Ankara wangali wanasisitiza kuwa, serikali ya Saudi Arabia haina ustahiki wa kushughulikia na kuendesha kesi ya Msaudia huyo aliyeuliwa ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki akiwa na umri wa miaka 59.
-
China: Uvamizi na uhasama dhidi ya Palestina haupaswi kuhalalishwa
Jul 07, 2020 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameashiria kuhusu uungaji mkono wa nchi hiyo ya Asia kwa wananchi madhulumu wa Palestina na kusisitiza kuwa, kuhujumiwa haki za msingi za Wapalestina hakupaswi kuhalalishwa.
-
Hamas yapongeza ujumbe wa Ayatullah Khamenei, yaahidi kudumisha mapambano
Jul 06, 2020 22:01Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amepongeza majibu ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kwa barua ya Mkuu wa Idara ya Siasa ya harakati hiyo na kusema: Taifa la Palestina litadumisha mapambano hadi litakaposhinda na kuvunjilia mbali mipango ya kughusubu eneo la Ukingo wa Magharibi.
-
Kaburi la umati lenye maiti za watu 600 lagunduliwa kaskazini mwa Iraq
Jul 06, 2020 21:59Kaburi la umati la watu waliouawa na kundi la kigaidi la Daesh limegunduliwa katika mkoa wa Nineveh huko kaskazini mwa Iraq.
-
Jaribio la mfumo wa makombora ya kujihami angani ndani ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad
Jul 06, 2020 06:55Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad siku ya Jumamosi ulichukua hatua isiyo ya kawaida na kufanyia majaribio mfumo wa makombora ya kujihami ndani ya ubalozi huo.
-
Uturuki: Saudia haina ustahiki wa kuendesha kesi ya wauaji wa Khashoggi
Jul 06, 2020 06:48Mshauri wa Rais wa Uturuki amesisitiza kuwa, Saudi Arabia haina ustahiki wa kuendesha kesi za wauaji wa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia aliyeuliwa kinyama ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki.
-
Waandishi 40 wafukuzwa kazi kwa kumkosoa waziri mkuu wa Israel
Jul 06, 2020 03:22Udikteta na ukosefu wa uhuru wa waandishi wa habari umezidi kujidhihirisha ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya waandishi 40 wa habari kufutwa kazi kwa kumkosoa waziri mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu.