-
Ansarullah yafichua nafasi ya Israel na US katika mashambulizi dhidi ya Yemen
May 24, 2020 05:12Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya nchini Yemen amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni washirika wa muungano vamizi wa kijeshi unaofanya mashambulizi dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Ndege za kivita za muungano wa Saudia zaendeleza mashambulizi Yemen
May 24, 2020 03:36Ndege za kivita za muungano vamizi wa Saudi Arabia zimeendelea kushambulia maeneo ya Yemen na hivyo kukiuka madai ya usitishwaji vita wa muda wa muugano huo.
-
Askari wa Kizayuni washambulia Wapalestina katika Swala ya Idi
May 24, 2020 03:27Wanjeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds kwa ajili ya ibada.
-
Rais Rouhani aitahadharisha Marekani kuhusu kutatiza meli za mafuta za Iran
May 24, 2020 03:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria baadhi ya chokochoko za Marekani katika eneo la Bahari ya Caribbean na kusema: "Iwapo meli za mafuta za Iran zitakabliwa na tatizo lolote kutoka Marekani, basi Iran nayo itawaibulia matatizo."
-
Onyo la Russia kuhusu madhara ya hatua za Wazayuni dhidi ya Palestina
May 24, 2020 02:39Hatua zilizo kinyume cha sheria na zisizo za kibinadamu za Israel dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina zimepamba moto sana katika miaka ya hivi karibuni. Mbali na kuwaua Wapalestina hasa katika Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni umeongeza sana kasi ya kupora ardhi za Wapalestina na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Vipengee vitatu vikuu vya hotuba ya Siku ya Quds ya Sayyid Hasan Nasrullah kuhusu Palestina
May 23, 2020 22:15Sayyid Hasan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon siku ya Ijumaa alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa mwaka wa 41 wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na sisi katika uchambuzi huu wa kisiasa tutachambua baadhi ya vipengee muhimu vya hotuba yake hiyo.
-
Uturuki yawatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa kilojistiki
May 23, 2020 04:46Duru za habari za Syria zimeripoti kuwa, Uturuki imewatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa vifaa vya kijeshi katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya kaskazini mwa Syria.
-
Magaidi 6 wa ISIS watiwa mbaroni mkoani al Anbar, Iraq
May 23, 2020 04:46Idara ya kijesusi na ya kupambana na ugaidi ya mkoa wa al Anbar nchini Iraq imetoa tamko na kusema kuwa, magaidi 6 wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) wametiwa mbaroni katika eneo la al Falluja.
-
PFLP: Hotuba ya Kiongozi Muadhamu imeainisha ramani ya njia ya kuikomboa Palestina
May 23, 2020 03:36Afisa wa ngazi za juu wa Palestina amesema hotuba ya jana ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds imechora na kuanisha ramani ya njia ya ukombozi wa Palestina.
-
Sayyid Nasrallah: Bila shaka Israel itasambaratika; vita asili vitakuwa na Marekani
May 22, 2020 23:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hakuna shaka kuwa utawala wa Israel utasambaratika na amesisitiza kuwa, vita asili vitakuwa na Marekani.