-
Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza
May 20, 2020 22:31Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema "Muamala wa Karne" unakusudia kusambaratisha kadhia ya Palestina.
-
UN: Msimamo wetu daima utaendelea kuwa wa kuliunga mkono taifa la Palestina
May 20, 2020 22:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, usiku wa kuamkia leo amefanya mazungumzo na Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kwa mara nyingine amesisitiza kuwa, msimamo usiotetereka wa umoja huo ni kuliunga mkono taifa la Palestina na kuheshimu haki za kimataifa na maazimio ya kimataifa.
-
Hizbullah: Tumejiandaa barabara kuzima uchokozi wowote wa Israel
May 20, 2020 22:05Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama imejiandaa vilivyo na ipo tayari kikamilifu kukabiliana na uvamizi na chokochoko zozote za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Palestina yafuta makubaliano yote iliyofikia na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 19, 2020 22:36Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amefuta makubaliano yote yaliyofikiwa kati ya mamlaka hiyo na Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Borrell: EU haitaitambua hatua ya upande mmoja ya Israel ya kuambatisha ardhi inayoikalia kwa mabavu
May 19, 2020 10:57Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ameuonya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya utekelezaji wa uamuzi wa "upande mmoja" wa kuambatisha na kile kinachoitwa Israel baadhi ya sehemu za ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu akisisitiza kuwa jumuiya hiyo yenye nchi wanachama 27 haitayatambua mabadiliko yoyote ya aina hiyo yanayokinzana na muundo wa mipaka ya mwaka 1967.
-
Kuundwa serikali ya Netanyahu na ahadi ya kuunganishwa Ukingo wa Magharibi
May 18, 2020 23:28Baada ya kufanyika chaguzi tatu katika kipindi cha mwaka mmoja, hatimaye baraza jipya la mawaziri la utawala ghasibu wa Israel limebuniwa huku kukiwa na upinzani mkali dhidi ya serikali hiyo mpya.
-
Umoja wa Mataifa: Virusi vya Corona nchini Yemen vitakuwa angamizi
May 18, 2020 21:55Mkuu wa Kamisheni Kuu ya Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Wakimbizi nchini Yemen ametahadharisha juu ya hali mbaya ya nchi hiyo na taathira zinazotokana na virusi hatari vya Corona.
-
Mapambano ni njia pekee ya Wapalestina kujibu jinai za Wazayuni
May 18, 2020 05:56Huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia, Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Ghaza wamefanya maandamano na kusisitiza kwamba mapambano na muqawama wa pande zote ndio njia pekee ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mamluki wa Saudia na Imarati wazidi kuuwana kusini mwa Yemen
May 17, 2020 20:11Watu wasiopungua 14 wameuawa katika mapigano mapya yaliyotokea baina ya mamluki wa Saudi Arabia na wale wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) huku vita baina ya pande hizo mbili vikiwa vinaendelea kwa siku ya nane sasa kusini mwa Yemen.
-
Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu: Marekani inabeba jukumu la uvamizi mpya wa Israel dhidi ya ardhi za Palestina
May 17, 2020 07:54Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imetangaza kuwa, serikali ya Marekani inabeba dhima ya mipango ya utawala haramu wa Israel ya kupora na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.