-
Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu: Marekani inabeba jukumu la uvamizi mpya wa Israel dhidi ya ardhi za Palestina
May 17, 2020 07:54Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imetangaza kuwa, serikali ya Marekani inabeba dhima ya mipango ya utawala haramu wa Israel ya kupora na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
NAM yalitaka Baraza la Usalama la UN liitishe kikao cha haraka cha kuchukua hatua dhidi ya Israel
May 17, 2020 03:44Nchi wanachama wa Vuguvugu la Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) zimelaani azma ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kuliunganisha eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zingine za Palestina unazozikalia kwa mabavu na kutaka kiitishwe kikao cha haraka cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa cha kujadili suala hilo.
-
Harakati ya Al Nujaba: Kumvunjia heshima shahidi Al-Muhandis ni uibuaji fitina wa kanali ya MBC
May 16, 2020 21:51Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Al-Nujaba ya Iraq ametoa radiamali yake kwa kitendo cha kanali ya televisheni ya MBC ya Saudi Arabia cha kumvunjia heshima shahidi Abu Mahdi al-Muhandis, aliyekuwa naibu Mkuu wa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi hiyo.
-
Saudia Arabia ndio mnunuzi mkubwa wa silaha duniani
May 16, 2020 21:50Kwa mujibu wa vyombo vya habari, utawala wa Saudi Arabia bado unashikilia nafasi ya kwanza kwa ununuzi wa silaha duniani.
-
Hujuma za vyombo vya habari vya Saudia dhidi ya mhimili wa Muqawama
May 16, 2020 06:00Baada ya kanali ya televisheni ya MBC inayomilikiwa na utawala wa Aal Saud kuonyesha filamu ya mfuatano iliyo dhidi ya Palestina, hivi karibuni televisheni hiyo imechukua hatua nyingine mpya kwa kumtusi na kumvunjia heshima Shahidi Abu Mahdi al-Muhandis, aliyekuwa Naibu Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq.
-
Jordan yatahadharisha kuhusu mapigano iwapo Israel itateka maeneo ya Ukingo wa Magharibi
May 16, 2020 03:28Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan ameutahadharisha utawala wa Israel kuwa utaraji mapigano makubwa iwapo utasonga mbele na mpango wake wa kuteka zaidi ardhi za Palestina katika Ukingo wa Magharibi na Bonde la Jordan.
-
Jihadul Islami: Haki ya taifa la Palestina si ya kupigwa mnada
May 15, 2020 21:59Harakati ya Muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema kwamba, haki ya taifa la Palestina si ya kupigwa mnada wala kutolewa zawadi na kwamba na njia pekee ya kufikia usalama, ni kuondoka wavamizi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.
-
Bunge la Iraq lataka kanali ya televisheni ya MBC mali ya Saudi Arabia ipigwe kufuli kwa kuwadhalilisha shakhsia wa nchi hiyo
May 15, 2020 21:58Kamisheni ya Mahusiano na Vyombo vya Habari ya Bunge la Iraq imetaka kufungwa kanali ya televisheni ya Saudi Arabia ya MBC, kufuatia kanali hiyo kumvunjia heshima Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi hiyo.
-
Sudan: Tumeondoa akthari ya askari wetu nchini Yemen
May 15, 2020 07:55Serikali ya Mpito wa Sudan imetangaza kuwa imewaondoa nchini Yemen aghalabu ya wanajeshi wake waliokuwa wanapigana chini ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Radiamali ya Rais wa Afghanistan kwa shambulio la kigaidi dhidi ya Wodi ya Wazazi mjini Kabul
May 15, 2020 07:18Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ametoa radiamali yake kwa shambulio la kigaidi dhidi ya hospitali moja katika mji mkuu wa nchi hiyo Kabul na kusema kwamba, sehemu yoyote ya wananchi wa Afghanistan inapolengwa na shambulio basi yeye hujihesabu kuwa anatokea katika eneo hilo.