-
Wapalestina wakusanyika Nablus, Ufukwe wa Magharibi kupinga safari ya Pompeo
May 15, 2020 03:40Wananchi wa Palestina wamekusanyika katika mji wa Nablus ulioko kaskazini mwa Ufukwe wa Magharibu wa Mto Jordan kupinga safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo katika ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la 'Israel'.
-
Sayyid Hassan Nasrallah atetea msimamo wa Iran kuhusu mgogoro wa Syria
May 15, 2020 03:03Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ametoa hotuba yenye kukosoa vikali sera za Marekani na utawala Israel kuhusu misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mgogoro wa Syria.
-
Taliban yatishia kuendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya vikosi vya serikali ya Afghanistan
May 15, 2020 02:54Msemaji wa kundi la Taliban ametishia kuwa, kundi hilo litaendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya askari na taasisi za serikali ya Afghanistan.
-
HAMAS: Tutaendeleza mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
May 14, 2020 06:32Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, harakati hiyo itaendeleza muqawama na mapambano yake dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Sayyid Nasrullah: Utawala wa Kizayuni umejiingiza kwenye vita vya kwenye ndoto na Iran
May 14, 2020 03:28Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, washauri wa Kiirani walioko nchini Syria si wanajeshi na kwamba utawala wa Kizayuni umejiingiza kwenye vita vya kwenye ndogo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Muqawama; njia pekee ya kukabiliana na utawala ghasibu wa Kizayuni
May 14, 2020 02:17Viongozi wa makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina pamoja na wananchi wamesisitiza kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni muqawama au mapambano.
-
Benny Gantz ajiuzulu nafasi ya spika wa bunge la utawala haramu wa Kizayuni
May 13, 2020 23:24Duru za habari zimeripoti kwamba Benny Gantz, kiongozi wa mrengo wa Blu na Nyeupe, ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa spika wa bunge la utawala bandia wa Kizayuni (Knesset) amejiuzulu nafasi hiyo.
-
Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya Iraq: Tunafuatilia kwa umakini harakati zote za Marekani
May 13, 2020 23:23Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq amesisitiza kwamba Wamarekani na vibaraka wao wanatakiwa kufahamu kwamba macho ya muqawama daima yanafuatilia harakati zao kwa umakini mkubwa.
-
Ziara ya Pompeo katika ardhi za Palestina na malengo yake kadhaa
May 13, 2020 23:20Uhusiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel umepanuka sana kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika wakati huu wa urais wa Donald Trump huko Marekani ambaye amechukua hatua nyingi za kutekeleza kivitendo matakwa haramu ya 'Israel.'
-
Rais wa Afghanistan atoa amri ya kuanzishwa tena mashambulio dhidi ya Taliban
May 13, 2020 08:56Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ametoa amri kwa vikosi vya usalama kuanzisha mashambulio dhidi ya Taliban na makundi mengine yanayobeba silaha baada ya makumi ya watu wakiwemo watoto wachanga kuuawa katika mashambulio mawili tofauti ya kigaidi yaliyofanywa hapo jana.