-
Onyo la wanamgambo wa Taliban la kushadidisha mashambulio nchini Afghanistan
May 13, 2020 03:25Katika hali ambayo, serikali ya Afghanistan imesitisha mchakato wa kuwaachilia huru kutoka gerezani wanachama wa kundi la Taliban, msemaji wa kundi hilo ametahadharisha kwamba, endapo wanachama wao hawatoachiliwa huru kutoka magerezani, basi kundi hilo litashadidisha mashambulio yake katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
-
Watoto wauawa na kujeruhiwa katika hujuma ya muungano wa Saudia nchini Yemen
May 12, 2020 21:52Ndege za kivita za muungano vamizi wa Saudi Arabia zimetekeleza mashambulizi katika maeneo mbali mbali ya Yemen na kuua na kujeruhiwa raia kadhaa wakiwemo wanawake na watoto.
-
Uturuki: Taarifa ya nchi tano dhidi yetu imetumia vipimo vya kiundumakuwili
May 12, 2020 03:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema, taarifa ya pamoja iliyotolewa na Misri, Ugiriki, Imarati, Ufaransa na Cyprus kuhusu Bahari ya Mediterania inaonyesha vipimo vya kiundumakuwili vinavyotumiwa na nchi hizo.
-
Saudia kukata msaada wa kujikimu kimaisha kutokana na matatizo ya kiuchumi
May 11, 2020 22:10Kufuatia kushtadi matatizo ya kiuchumi, serikali ya Saudi Arabia imeongeza kiwango cha kodi na kukatisha ruzuku ya kimaisha nchini humo.
-
Sababu na lengo la Marekani kuondoa ngao ya makombora ya Patriot Saudi Arabia
May 11, 2020 22:09Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kuhusu uamuzi wa Marekani kuondoa mfumo wake wa ngao ya makombora ya Patriot kutoka Saudi Arabia, ripoti ambazo pia zimethibitishwa na Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani.
-
Badr: Ndege za Marekani zinawabeba magaidi wa ISIS kutoka Syria na kuwapeleka Iraq
May 11, 2020 10:35Kiongozi katika Taasisi ya Badr ya Iraq amesema ndege za Jeshi la Marekani zinatekeleza oparesheni ya kuwabeba magaidi wa ISIS au Daesh kutoka Syria na kuwapeleka Iraq .
-
Vyama vya siasa na mashirika ya Norway yataka kuhitimishwa mzingiro wa Gaza
May 10, 2020 19:53Vyama vya kisiasa na mashirika 58 ya Norway yametoa mwito wa kufutwa haraka mzingiro wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, hususan katika kipindi hiki cha janga la corona.
-
Aliyekuwa mchumba wa Khashoggi asikitishwa na Saudia kuruhusiwa kununua New Castle
May 10, 2020 19:52Mchumba wa Jamal Khashoggi, mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud aliyeuawa ndani ya ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul, Uturuki mwaka 2018 ameeleza kusikitishwa kwake na mpango wa kuuruhusu utawala wa Aal-Saud ukiongozwa na mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman ununue asilimia 80 ya hisa za klabu ya soka ya New Castle ya Uingereza kwa thamani ya dola milioni 300.
-
HAMAS: Ufukwe wa Magharibi ndio ulingo mkuu wa mapambano kwa sasa
May 10, 2020 09:08Afisa mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametaja hatari kadhaa za uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa kulinyakua eneo la Ufukwe wa Magharibi na kuliunganisha na ardhi zingine unazozikalia kwa mabavu; na akaeleza kwamba, eneo hilo ndio ulingo mkuu wa mapambano katika kipindi cha sasa.
-
Marekani, muhimili wa muqawama na mzingiro wa bonde la Shi'b Abi Twalib
May 10, 2020 03:45Ijumaa iliyopita Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon aliufananisha mwenendo wa Marekani katika kukabiliana na muqawama kuwa ni sawa na mwenendo ule ule wa viongozi wa Kiquraish dhidi ya Mtume Muhammad (saw) katika mzingiro wa (bonde la) Shi'b Abi Twalib.