-
Sababu za kudhihiri tena Daesh nchini Iraq
May 04, 2020 05:24Magaidi wa kundi la Daesh wameshambulia Harakati ya Wananchi wa Iraq Hashdu Sha'bi, na kuua pamoja na kujeruhi makumi ya wanaharakati wa kundi hilo la mapambano ya Kiislamu.
-
Answarullah: Njia ya kuuokoa uchumi wa Saudia, ni kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen
May 04, 2020 03:45Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen amesisitiza kwamba, njia bora ya kuuokoa uchumi wa Saudia ni kwa nchi hiyo kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen.
-
Hizbullah ya Iraq: Harakati za genge la Daesh (ISIS) zinatokana na mipango ya Marekani na Saudia
May 04, 2020 02:45Msemaji wa Kisiasa wa Kundi la Muqawama la Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, harakati mpya za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, zinahusiana na mipango ya Marekani na Saudi Arabia.
-
Wairaqi waandamana kulaana shambulizi la Daesh dhidi ya Hashd al-Sha'abi
May 03, 2020 03:39Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano katika mji mkuu Baghdad kulaani shambulizi la hivi karibuni la kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) lililoua na kujeruhi makumi ya wanachama wa harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Sha'abi.
-
Mshikamano wa muqawama Asia Magharibi dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusiana na Hizbullah ya Lebanon
May 03, 2020 02:59Mhimili wa muqawama katika eneo mla Asia Magharibi umechukua msimamo mmoja wa kulaani hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiita Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Palestina yataka nchi za dunia zizue mfumo wa apatheidi wa utawala wa Israel
May 02, 2020 22:04Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetuma ujumbe kwa nchi kadhaa ikizitaka zichukue hatua za kuuzuia utawala wa Kizayuni kutekeleza mpango wa apatheidi wa kuunganisha Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Vyama vya Palestina na Lebanon vyatoa radiamali kufuatia hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah
May 02, 2020 06:22Vyama na makundi tofauti ya Lebanon, Syria na Palestina vimeitaja hatua ya Ujerumani ya kuitangaza Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi ni kusalimu amri kwa njia ya kujidhalilisha nchi hiyo ya Magharibi kwa amri za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni.
-
Yemen yakaribia kutumbukia kwenye mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu
May 02, 2020 05:46Vita dhidi ya Yemen vimepelekea mamilioni ya watu wa nchi hiyo kuwa wakimbizi na wanawake pamoja na watoto kukabiliwa na magonjwa na mgogoro mkubwa wa baa la njaa.
-
Aal Saud wanavyoihudumia Israel kupitia sanaa; upotoshaji wa historia na kughilibu fikra za waliowengi
May 02, 2020 03:41Awamu mpya ya mchakato unaoendeshwa na baadhi ya nchi za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imeanza rasmi kupitia masuala ya sanaa na utamaduni.
-
Jihadul-Islami na HAMAS zalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
May 01, 2020 23:00Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani hatua ya Ujerumani ya kuiweka Hizbullah ya Lebanon kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kueleza kwamba hatua hiyo inadhihirisha upendeleo na uungaji mkono wa Berlin kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.