-
Jihadul-Islami na HAMAS zalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
May 01, 2020 23:00Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani hatua ya Ujerumani ya kuiweka Hizbullah ya Lebanon kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kueleza kwamba hatua hiyo inadhihirisha upendeleo na uungaji mkono wa Berlin kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Vita vya maneno vyashtadi kati ya Imarati na Uturuki
May 01, 2020 21:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imeitaka Imarati kukomesha misimamo yake ya uhasama dhidi ya nchi hiyo.
-
Imran Khan: India inaangamiza kizazi cha Waislamu wa Kashmir
May 01, 2020 21:04Waziri Mkuu wa Pakistan sambamba na kukosoa siasa za ukandamizaji za serikali ya India dhidi ya Waislamu, amesema kuwa hatua za New Delhi katika jimbo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa nchi hiyo ni za maangamizi ya kizazi.
-
HAMAS yasisitiza kuweko umoja wa Umma wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na Israel
May 01, 2020 02:45Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito wa kuweko umoja na mshikamano wa Umma wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na hujuma na uvamizi wa utawala haramu wa Israel.
-
Hatimaye Saudia yakiri rasmi wanawafalme wamekumbwa na corona, lakini yapunguza sana idadi ya New York Times
Apr 30, 2020 20:11Hatimaye viongozi wa Saudi Arabia wamekiri rasmi kwamba wanawafalme wengi wamekumbwa na ugonjwa wa COVID-19, lakini wamepunguza mno idadi iliyotolewa na gazeti la Marekani la New York Times.
-
FATF yatoa onyo kali kwa Imarati kwa kuruhusu kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi
Apr 30, 2020 20:11Kundi maalumu la FATF limeuonya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutokana na kuchukua hatua chache na dhaifu katika kukabiliana na utakatishaji pesa na kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi.
-
Hizbullah ya Lebanon yasisitiza mapambano dhidi ya ufisadi na ubeberu wa sarafu ya dola
Apr 30, 2020 07:53Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa ikisema kuwa, mapambano dhidi ya ufisadi na kuzuia ubeberu wa sarafu ya Dola ya Marekani kwenye uchumi wa nchi, ni jambo la dharura.
-
Maafa ya kibinadamu Yemen yafika kileleni kutokana na sera za Marekani
Apr 30, 2020 02:51Baada ya Marekani kukata mchango wake kwa Shirika la Afya Duniani (WHO), shirika hilo limetangaza kukata asilimia 80 ya misaada yake kwa watu wa Yemen.
-
Iran na Russia: Njia pekee ya kuutatua mgogoro wa Yemen ni mazungumzo ya kisiasa
Apr 30, 2020 00:21Msaidizi wa ngazi za juu wa Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran katika masuala maalumu ya kisiasa amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia anayeshughulikia masuala ya kimataifa ambapo wamejadili matukio ya hivi karibuni nchini Yemen.
-
HAMAS: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni hiana kwa taifa la Palestina
Apr 29, 2020 02:55Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, hatua yoyote ile ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel itakuwa ni hiana kwa taifa la Palestina na kinyume kabisa na maslahi ya wananchi hao madhulumu.