-
Sayyid Nasrullah: Marekani imelemewa kukabiliana na corona, virusi hivyo ni hatari zaidi kuliko Vita vya Dunia
Mar 29, 2020 21:55Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbulah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah anasema athari za ugonjwa wa COVID-19 (corona) zinaweza kupita zile za Vita vya Kwanza na vya Pili vya Dunia na kuibua mfumo mpya duniani.
-
Makubaliano ya Benny Gantz na Netanyahu, mwisho au mwanzo wa mgogoro?
Mar 29, 2020 06:33Katika hali ambayo Jenerali Benny Gantz, Kiongozi wa Mrengo wa Blu na Nyeupe alikuwa ametakiwa na rais wa utawala haramu wa Israel kuunda serikali mpya ya Israel, Alkhamisi iliyopita aliteuliwa rasmi kuwa spika wa bunge la utawala huo, Knesset.
-
Hizbullah yaisaidia serikali ya Lebanon katika vita dhidi ya corona
Mar 28, 2020 23:25TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Hizbullah ya Lebanon iko mstari wa mbele kukabiliana na kuenea kwa virusi hatari vya COVID-19 au corona katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Assad apigiwa simu na kiongozi wa UAE huku Syria ikikaribia ushindi kamili vitani
Mar 28, 2020 23:21Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mohammad bin Zayed Al-Nahyan amempigia simu Rais Bashar al Assad wa Syria huku jeshi la Syria likiwa linakaribia kupata ushindi kamili katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi yanayopata himaya ya kigeni nchini humo.
-
Radiamali ya bunge la Afghanistan kwa kitisho cha Marekani cha kuipunguzia misaada nchi hiyo
Mar 28, 2020 21:48Bunge la Afghanistan limetangaza kuwa matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kuhusu kupunguzwa kiasi cha dola bilioni moja za misaada ya nchi hiyo kwa Kabul ni kinyume na mapatano ya kistratejia ya pande mbili.
-
Harakati ya Hizbullah: Njama za Marekani hazitopunguza muqawama wa Wairaki
Mar 28, 2020 08:10Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesema kuwa, hatua chafu za Marekani dhidi ya nchi hiyo, hazitakuwa na taathira yoyote kwenye muqawama wa Wairaki.
-
Tunisia yasema iko tayari kuisaidia Palestina kukabiliana na Corona
Mar 28, 2020 07:17Serikali ya Tunisia imetangaza uungaji mkono wake kwa raia wa Palestina katika kukabiliana na virusi vya Corona.
-
Ansarullah ya Yemen: Wapalestina waliofungwa jela Saudia wamekamatwa kwa amri ya Marekani
Mar 28, 2020 03:24Afisa mwandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, Wapalestina waliofungwa jela nchini Saudi Arabia wamekamatwa kwa amri ya Marekani.
-
Harakati za mapambano Palestina zapongeza hatua ya Ansarullah huko Yemen
Mar 27, 2020 20:35Makundi na harakati za mapambano ya ukombozi huko Palestina zimepongeza sana pendekezo lililotolewa na harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah kuhusu suala la kubadilishana mateka wa Saudi Arabia na Wapalestina wanaoshikiliwa nchini Saudia.
-
Mtandao wa wafungwa wa kisiasa Saudia wataka wanaharakati waachiwe huru kwa hofu ya corona
Mar 27, 2020 20:34Ukurasa wa mtandsao wa wafungwa wa kisiasa nchini Saudi Arabia umetoa wito wa watu kushiriki kwa wingi katika kampeni ya kuwaunga mkono wanaharakati wa haki za binadamu, waandishi wa habari, maulamaa na wafungwa wote wa kisiasa wanaoshikiliwa katika jela za Saudi Arabia.