-
Kuingia mwaka wa sita vita vya Yemen na kulazimishwa Saudia kukubali usitishwaji vita wa pande zote
Mar 27, 2020 20:32Sambamba na vita vya Yemen kuingia mwaka wa sita, serikali iliyojiuzulu ya Yemen imekubali pendekezo la Umoja wa Mataifa la kuwepo usitishaji vita kwa ajili ya kukabiliana na janga la COVID-19 au corona na hivyo muungano vamizi wa Saudia nao pia haukuwa na budi ila kukubali pandekezo hilo.
-
Adnan al Zurfi aunga mkono harakati ya al Hashd al Sha'abi
Mar 26, 2020 22:06Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Iraq ameiunga mkono harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq ya al Hashd al Sha'abi.
-
Yemen yakaribisha uamuzi wa muungano wa kijeshi wa Saudia wa kuafiki kusitisha mapigano
Mar 26, 2020 03:29Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amekaribisha uamuzi uliotangazwa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia wa kuafiki pendekezo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kusitisha vita na kupunguza mivutano nchini Yemen ili kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya kirusi cha corona.
-
Harakati ya Hizbullah ya Iraq yafichua njama mpya za Marekani nchini humo
Mar 26, 2020 00:05Harakati ya Hizbullah ya Iraq ambayo ni sehemu ya makundi kadhaa ya kujitolea ya wananchi yanayounda Harakati ya 'Hashdu sh-Sha'abi' imetahadharisha kuhusiana na juhudi za Marekani za kutekeleza njama hatari dhidi ya Iraq na kuwataka wanamuqawama wa nchi hiyo kukabiliana na nia na malengo machafu ya adui Mmarekani.
-
Matokeo ya kikao cha mawaziri wa Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi kilichohudhuriwa na Qatar
Mar 25, 2020 23:21Kikao cha dharura cha mawaziri wa fedha wa nchi wanachama katika Baraza la ushirikino wa Ghuba ya Uajemi kilifayika Jumanne ya tarehe 24 Machi kupitia njia ya video kwa shabaha ya kuchunguza taathira za kifedha na kiuchumi za maambukizi ya virusi vya corona.
-
Zaidi ya Wayemen elfu 42 wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya miaka 5 ya muungano vamizi wa Saudia
Mar 25, 2020 23:20Kituo kimoja cha Haki za Binaadamu kimeelezea kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya Wayemen elfu 42 katika kipindi cha miaka mitano ya uvamizi na mashambulizi ya muungano vamizi wa Saudia nchini Yemen.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Mar 25, 2020 23:19Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Vibaraka wa Imarati wapigana kusini mwa Yemen
Mar 25, 2020 07:53Duru za habari zimeripoti kujiri mapigano makali kati ya wanamgambo vibaraka wa Imarati katika mji wa Aden, kusini mwa Yemen.
-
Idadi ya waathirika wa Corona yaongezeka ndani ya Israel
Mar 25, 2020 07:46Idadi ya waathirika wa virusi vya Corona kati ya Wazayuni, imefikia 1930 baada ya kusajiliwa kesi mpya 488.
-
Mazungumzo ya Iran na Russia kuhusu corona na vikwazo vya Marekani
Mar 25, 2020 02:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amefanya mazungumzo na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov kuhusu janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.