-
Ishara za kupata ushindi Serikali ya Wokovu wa Kitaifa katika vita nchini Yemen
Mar 24, 2020 21:58Brigedia Jenerali Yahya Saree, msemaji wa jeshi la Yemen amesisitiza wakati huu wa kukaribia kutimia mwaka wa tano wa vita vya muungano unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen kwamba, nchi hiyo si tu kwamba, haijasalimu amri mbele ya muungano huo vamizi bali hii leo ipo katika nafasi ya kupata ushindi.
-
Yemen yakaribisha pendekezo la Katibu Mkuu wa UN la kusitisha vita na kukabiliana na corona
Mar 24, 2020 10:12Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amekaribisha pendekezo lililotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kusitishwa vita duniani kote na kuelekeza juhudi zote katika kukabiliana na kirusi cha corona.
-
Janga la corona lashtadi katika nchi za Kiarabu, wanaokaidi amri Saudia watafungwa na kutozwa faini
Mar 24, 2020 10:10Kufuatia kuenea kirusi cha corona katika nchi za Kiarabu, viongozi wa baadhi ya nchi hizo wameweka marufuku ya kutembea ovyo sambamba na kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaopuuza maagizo na maelekezo ya kitiba na kiafya.
-
Uvamizi wa Saudi Arabia nchini Yemen umeua zaidi ya watu elfu 16
Mar 23, 2020 22:10Katika kipindi cha miaka mitano ya uvamizi wa muungano vamizi wa Saudi Arabia nchini Yemen, zaidi ya watu elfu 16 wameuawa na wengine zaidi ya elfu 25 wamejeruhiwa.
-
Malaki ya raia wa utawala bandia wa Israel waandamana dhidi ya Netanyahu kwenye mitandao ya kijamii
Mar 23, 2020 22:07Zaidi ya raia nusu milioni wa utawala bandia wa Israel wameshiriki katika maandamano ya mitandao ya kijamii dhidi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo wakisisitiza kuwa kiongozi huyo ameendelea kujishikiza kwenye nafasi hiyo.
-
Aal Saud na corona ya kisiasa
Mar 23, 2020 22:04Saudi Arabia ni miongoni mwa nchi zinazoutumia kisiasa ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na kirusi cha corona.
-
HAMAS yasisitiza kuachiliwa huru wafungwa wa Kipalestina nchini Saudi Arabia
Mar 23, 2020 03:44Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza juu ya ulazima wa kuachiliwa huru haraka iwezekanavyo wafungwa wa Kipalestina wanaoshikiliwa nchini Saudi Arabia
-
Msimamo wa Ashraf Ghani kuhusu hatua za Taleban za kuhatarisha mchakato wa amani ya Afghanistan
Mar 22, 2020 20:46Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema, licha ya kuwepo makubaliano ya amani ya Doha, mashambulizi yanayofanywa na kundi la Taleban yanahatarisha mwenendo wa amani wa nchi hiyo.
-
Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu kadhia ya Amer Al-Fakhoury
Mar 22, 2020 04:49Kuachiliwa huru na kutoroshwa Amer Al-Fakhoury, kibaraka mwenye uraiapacha wa Lebanon na Marekani, ilikuwa ndio maudhui kuu ya hotuba aliyotoa Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon usiku wa kuamkia jana.
-
Mauaji ya askari zaidi wa Uturuki nchini Syria
Mar 21, 2020 22:02Wizara ya Uinzi ya Uturuki imetangaza kuwa, wanajeshi wengine wawili wa nchi hiyo wameuawa katika mkoa wa Idlib nchini Syria.