-
Mauaji ya askari zaidi wa Uturuki nchini Syria
Mar 21, 2020 22:02Wizara ya Uinzi ya Uturuki imetangaza kuwa, wanajeshi wengine wawili wa nchi hiyo wameuawa katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Nasrullah: Maadui wanataka kuondoa imani ya wananchi kwa kambi ya Muqawama
Mar 21, 2020 03:38Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, maadui wanafanya kila njia ili kuyumbisha imani iliyopo baina ya Muqawama na wananchi, ambao ndio watoaji msukumo halisi kwa mhimili wa muqawama.
-
Hamas yaziomba taasisi za kimataifa ziwasaidie mateka wa Kipalestina
Mar 18, 2020 23:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeziomba taasisi za kisheria za kimataifa zichukua hatua za kuwanusuru mateka wa Kipalestina katika jela za utawala wa Kizayuni waq Israel kutokana na kukithiri maambukizo ya virusi vya corona katika jela hizo.
-
Jeshi la Yemen laendelea kupata ushindi katika mkoa wa al Jawf
Mar 18, 2020 23:14Miji mingi katika mkoa wa al Jawf ulioko kaskazini mwa Yemen imekombolewa kutoka mikononi mwa mamluki wa Saudi Arabia baada ya mapigano makali yaliyojiri kati ya jeshi la nchi hiyo linaloshirikiana na makundi ya kujitolea ya wananchi na mamkuki wa Saudi Arabia.
-
Kutangazwa Benny Gantz, mwisho au fursa kwa Benjamin Netanyahu?
Mar 18, 2020 09:26Reuven Rivlin, Rais wa Utawala Haramu wa Israel amemwamuru rasmi Benny Gantz, Kiongozi wa Muungano wa Blu na Nyeupe, kuunda serikali mpya ya Israel.
-
Human Rights Watch yakosoa kamatakamata ya wanaharakati nchini Saudia
Mar 18, 2020 03:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa taarifa likikosoa hatua ya serikali ya Saudi Arabia ya kuwatia nguvuni maafisa wa serikali, wanaharakati na wakosoaji wa utawala wa nchi hiyo.
-
Vikosi vya Yemen vyadhibiti kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya muungano wa Saudia katika mkoa wa Marib
Mar 17, 2020 23:37Jeshi la Yemen linaloshirikiana na kamati za Harakati ya Wananchi ya Answarullah limefanikiwa kudhibiti eneo la Kufal, ambapo kuna kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mkoa wa Marib, katikati mwa nchi.
-
Iraq yaishtaki Marekani Baraza la Usalama baada ya kushambulia vituo vya jeshi la nchi hiyo
Mar 17, 2020 12:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imeishtaki Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya jeshi la nchi hiyo kushambulia kambi za jeshi na askari polisi wa Iran.
-
Kutokuwa na irada wanamgambo wa Taliban kwa ajili ya amani nchini Afghanistan
Mar 17, 2020 09:14Baraza la Usalama wa Taifa nchini Afghanistan limetangaza kuwa, kundi la wanamgambo wa Taliban halina irada na azma ya kweli kwa ajili ya kupatikana amani na kudhaminiwa usalama katika nchi hiyo.
-
Israel yamkamata mkurugenzi katika Shirika la Wakfu Quds
Mar 16, 2020 22:11Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Wakfu wa Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) huku kukiwa na tetesi kuwa Wazayuni wanalenga kumuambukiza kirusi cha corona.