-
Benny Gantz atakiwa kuunda serikali ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel
Mar 16, 2020 22:10Rais wa utawala haramu wa Israel, amemtaka Benny Gantz, Mkuu wa Chama cha Blu na Nyeupe kuunda serikali ya utawala huo.
-
Iraq katika kuihami na kuitetea Al-Hashdu-Sha'abi sambamba na kukabiliana na kupambana na Marekani
Mar 16, 2020 22:10Katika muda wa siku chache zilizopita ndege za kivita za Marekani zilishambulia mara kadhaa kwa makombora ngome za Al-Hashdu-Sha'abi na Muqawama wa Iraq; mashambulio ambayo yamekosolewa vikali na Wairaqi wengi.
-
Kumalizika mwaka wa tisa wa vita vya Syria
Mar 16, 2020 09:08Leo Jumanne ya tarehe 16 Machi 2020, vita baina ya mfumo wa utawala wa Syria na makundi ya magaidi wanaotoka mataifa kadhaa duniani vimeingia katika mwaka wa kumi.
-
Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq: Tutalipiza kisasi mashambulizi ya Marekani
Mar 16, 2020 08:55Moja ya makundi yanayounda Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq limesema kuwa, makundi ya muqawama ya Iraq yatalipiza kisasi dhidi ya mashambulizi ya Marekani na kwamba kisasi hicho kitakuwa cha kuumiza.
-
Makumi ya Wapalestina wajeruhiwa katika uvamizi wa wanajeshi wa Israel dhidi ya Quds
Mar 16, 2020 04:36Makumi ya wananchi wa Palestina wasio na hatia wamejeruhiwa baada ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel kuvamia maeneo kadhaa katika mji mtakatifu wa Quds.
-
Uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Lebanon na kuendelea mwenendo ulio dhidi ya Hizbullah
Mar 15, 2020 05:56Katika kikao cha Ijumaa iliyopita pamoja na Hassan Diab, Waziri Mkuu wa Lebanon, Dorothy Shea, balozi mpya wa Marekani nchini Lebanon sambamba na kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu, alisema kuwa mazingira ya msaada wa Washington kwa ajili ya kuushinda mzozo wa kiuchumi wa taifa hilo, unategemea kutengana serikali ya Beirut na Harakati ya Muqawama ya Hizbullah.
-
Corona yazidi kuutesa utawala wa Kizayuni, maeneo yote ya biashara kufungwa kwa wiki tano
Mar 15, 2020 03:15Maambukizi ya kirusi cha corona ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni makubwa kiasi kwamba wakuu wa utawala huo pandikizi wamefikia uamuzi wa kufunga maeneo yote ya biashara kwa muda wa wiki tano.
-
Palestina yamwandikia barua Guterres, yatahadharisha kuhusu ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni
Mar 15, 2020 00:48Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amewatahadharisha maafisa wa umoja huo kuhusu kasi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ardhi ya Palestina na uchochezi unaofanywa na utawala huo dhidi ya raia wa Palestina.
-
Wabunge wa India wasusia hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya kutetea sheria ya uraia
Mar 14, 2020 22:59Hotuba ya Amit Shah, Waziri wa Mambo ya Ndani wa India katika bunge la nchi hiyo iliyokuwa na lengo la kutetea sheria mpya ya uraia, imekabiliwa na upinzani mkubwa.
-
Afisa wa ngazi ya juu wa intelejensia nchini Saudia atoroka nchi kwa hofu ya Mohammad Bin Salman
Mar 14, 2020 12:17Kufuatia kuongezeka vitisho na mashinikizo ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia dhidi ya wanawafalme na shakhsia wa nchi hiyo, afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa idara ya intelejensia amekimbialia nchini Canada.