-
Muhula wa kupunguzwa mapigano Afghanistan wamalizika kwa kuuawa, kujeruhiwa watu 80
Feb 29, 2020 23:07Takwimu rasmi zilizotangazwa na serikali ya Afghanistan zinasema kuwa muhula wa siku saba wa kupunguzwa mapigano nchini humo, umemalizika kwa kuuliwa na kujeruhiwa watu 80.
-
Hatimaye serikali ya Afghanistan na kundi la Taleban zakubaliana kuanza mazungumzo ya amani
Feb 29, 2020 13:45Duru za habari nchini Afghanistan zimearifu kwamba serikali ya Kabul na kundi la Taleban zimekubaliana kuanza mazungumzo ya amani baina yao.
-
EU yakosoa mpango wa Israel wa kujenga vitongoji vipya Ukingo wa Magharibi
Feb 29, 2020 09:50Umoja wa Ulaya umekosoa vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujenga maelfu ya vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
-
Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia
Feb 29, 2020 05:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kuhusiana na yanayojiri katika eneo la Idlib nchini Syria na kueleleza wasiwasi wa Tehran kuhusu uwezekano wa kushadidi zaidi mivutano na machafuko katika eneo hilo. Taarifa hiyo pia imelaani hatua zinazofanywa na pande nyingine kwa ajili ya kukwamisha mwenendo wa mazungumzo ya Astana.
-
Mahathir Muhammad apendekezwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia
Feb 29, 2020 04:43Mahathir Muhammad, Waziri Mkuu wa Malaysia ambaye alijiuzulu hivi karibuni na kukabidhi barua yake kwa mfalme wa nchi hiyo, amesema atawasilisha jina lake kwa ajili ya kushika tena wadhifa huo.
-
Raia wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi wapigwa marufuku kuingia Makka na Madina kwa sababu ya corona
Feb 29, 2020 03:43Saudi Arabia imetangaza kuwa ni marufuku kwa raia wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi kuingia katika Haramaini za Makka na Madina, ikiwa ni hatua ya kuzuia maambukizi ya kirusi cha corona nchini humo.
-
Syria: Kuunga mkono ugaidi ni sera ya kudumu ya Uturuki na Wamagharibi
Feb 29, 2020 03:42Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imekosoa sera za Uturuki na Magharibi za kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa, Damascus haitaruhusu nchi za Magharibi na waitifaki wao waendelee kuwabebesha daima dawamu wananchi wa Syria mzigo wa magaidi.
-
Mkuu wa Jumuiya ya kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu: Imarati inaeneza chuki na uharibifu duniani
Feb 28, 2020 23:12Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu ameishambulia vikali Imarati akiituhumu kuwa inaeneza vita, njama na vinyongo katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria
Feb 28, 2020 23:08Wajumbe wa kisiasa wa Russia na Uturuki wamekutana mjini Ankara kujadiliana masuala ya kaskazini mwa Syria hasa ya mkoa wa Idlib.
-
Askari wengi wa jeshi la Uturuki waangamizwa kaskazini mwa Syria, Ankara yasema italipiza kisasi
Feb 28, 2020 04:24Vyombo vya habari katika eneo vimeripoti kuwa askari wasiopungua 33 wa jeshi la Uturuki wameangamizwa katika mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria.