-
Rais wa Palestina azitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia "Muamala wa Karne" wa Trump
Jan 28, 2020 02:58Rais wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amezitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia uzinduzi wa mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na mgogoro wa Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".
-
Wapalestina wakariri upinzani wao kwa "Muamala wa Karne wa Marekani"
Jan 27, 2020 23:17Vyama na makundi ya Palestina yamekariri upinzani wao kwa mpango uliopendekezwa na Marekani uliopewa jina la "Muamala wa Karne" eti kwa ajili ya kutatua mzozo kati ya Wapalestina na Israel ambao Rais Donald Trump amepanga kuuzindua wiki hii.
-
Ismail Hania: Tutasimama kidete kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne'
Jan 27, 2020 04:44Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, taifa la Palestina litasimama kidete kukabiliana na mpango wa Muamala wa Karne na kwamba, katu Wapalestina hawataukubali mpango huu uliojaa njama.
-
Hizbullah ya Iraq yasisitiza tena kuwa tayari kuwakabili askari vamizi wa Marekani
Jan 27, 2020 00:54Kwa mara nyingine tena Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Iraq imetangaza azma yake ya kutoa pigo dhidi ya askari wa Kimarekani kwa kuanzisha vita vya kushtukiza dhidi ya askari hao ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu na eneo zima la Asia Magharibi.
-
Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria
Jan 27, 2020 00:51Marekani imekuwepo kijeshi na kinyume cha sheria nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh (ISIS), ambapo licha ya madai ya Rais Donand Trump ya kuwaondoa askari wa nchi yake kutoka taifa hilo la Kiarabu, lakini hadi leo askari hao wameendelea kuwepo sambamba na kupora mafuta ya Syria.
-
Israel: Wazayuni kuanza kuitembelea Saudia kwa ziara za 'kidini' na kibiashara
Jan 26, 2020 09:37Wizara ya Mambo ya Ndani ya utawala haramu wa Israel imesema utawala huo pandikizi utaanza kuwaruhusu Wazayuni kuitembelea Saudi Arabia katika kile kinachotajwa kama safari za kidini na kibiashara.
-
Hizbullah: Marekani ndiyo sababu ya matatizo yote ya Lebanon
Jan 26, 2020 09:26Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo chimbuko la matatizo yote yanayoikabili Lebanon.
-
Jihadul Islami: "Muamala wa Karne" hautakwamisha mapambano ya kupigania uhuru ya Wapalestina
Jan 26, 2020 04:06Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema kuwa maamuzi yasiyo sahihi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mpango wa "Muamala wa Karne" hayana thamani yoyote. Amesema kuwa mpango huo hautakwamisha mapambano ya wananchi wa Palestina.
-
Muamala wa Karne wa Donald Trump na matokeo yake
Jan 26, 2020 02:31Rais wa Marekani amesema kuwa, siku chache zijazo atauzindua rasmi mpango wa "Muamala wa Karne."
-
Hamas: Hatutaruhusu Mpango wa ‘Muamala wa Karne” utekelezwe
Jan 25, 2020 23:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, katu haitaruhusu mpango uliojaa njama wa Marekani-Israel wa Muamala wa Karne utekelezwe na kufikia malengo yake machafu.