-
Mapambano ya mataifa mawili ya Iran na Iraq dhidi ya uistikbari; kukaririwa somo kubwa la historia
Jan 25, 2020 09:23Maandamano ya mamilioni ya wananchi wa Iraq yameonyesha kuwa kitisho cha Marekani kwamba itaiwekea vikwazo nchi hiyo iwapo itatekeleza sheria ya kuwafukuza wanajeshi wake nchini humo ni wenzo uliooza ambao hauwezi kuathiri irada ya serikali na mataifa yanayotaka kulinda kujitawala na mamlaka zao za kitaifa.
-
Hizbullah: Mapinduzi ya wananchi wa Iraq yataendelea hadi Wamarekani watakapofurushwa Asia Magharibi
Jan 25, 2020 08:07Brigedi za Hizbullah ya Iraq zimesema kuwa mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo yataendelea hadi wavamizi wote wa Kimarekani watakapofurushwa kikamilifu nchini Iraq na katika eneo zima la Asia Magharibi.
-
Hizbullah: Maandamano ya Wairaqi ni dhihirisho wanapinga uvamizi wa Marekani
Jan 25, 2020 04:52Harakati ya Muaqawama ya Hizbullah ya Lebanon imewapongeza wananchi wa Iraq kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya kupinga uwepo wa askari wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hashdu Shaabi: Marekani iondoke Iraq kwa khiari badala ya kusubiri kutimuliwa
Jan 25, 2020 04:11Harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Shaabi ya Iraq imemtaka Rais Donald Trump kuwaondoa wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu kwa khiari badala ya kusubiri watimuliwe kwa nguvu.
-
Zarif aipiga vijembe Saudia, asema nchi za kawaida hazifanyi balozi zao kuwa machinjio ya watu
Jan 24, 2020 23:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu matamshi yaliyotolewa na Waziri Mshauri katika Masuala ya Nje wa Saudia dhidi ya Iran akisema nchi za kawaida hazifanyi balozi zao kuwa machinjio ya watu wasio na hatia.
-
Mamilioni ya Wairaqi waandamana wakitaka kuondoka wanajeshi vamizi wa Marekani nchini kwao
Jan 24, 2020 13:30Mamilioni ya wananchi wa Iraq leo Ijumaa wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad wakitaka kuondoka nchini humo wanajeshi wa Marekani kufuatia shambulio kubwa la kigaidi lililofanywa na Marekani hivi karibuni nchini humo.
-
Askari wa Israel wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Waislamu kuswali Ijumaa
Jan 24, 2020 13:30Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia Msikiti mtukufu wa al Aqsa na kuwajeruhji Wapalestina wengi katika viwanja vya msikiti huo wakiwazuia kutekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa.
-
Iraq yasubiri kushuhudia tukio la kihistoria; Mapinduzi ya Ishiri ya pili
Jan 24, 2020 04:45Huku Wairaki wakiwa wanasubiri kushuhudia maandamano makubwa ya mamilioni ya watu dhidi ya uwepo wa kijeshi wa Wamarekani katika ardhi ya nchi hiyo, makundi mbalimbali ya Wairaki wanayataja maandamano hayo kuwa 'Mapinduzi ya Ishirini' ya pili.
-
Ulinzi mkali Iraq sambamba na kuanza maandamano ya milioni ya watu ya kuifukuza Marekani
Jan 24, 2020 04:31Duru za usalama za Iraq zimetangaza habari ya kuwekwa ulinzi mkali katika kona zote za nchi hiyo ya Kiarabu hasahasa Baghdad kufuatia kuanza maandamano ya milioni ya watu ya kushinikiza kufukuzwa wanajeshi wa Marekani nchini humo.
-
"ISIS walitaka kushambulia ubalozi wa Marekani Lebanon na kuisingizia Hizbullah"
Jan 24, 2020 02:45Gazeti la al Jamhuriyyah la Lebanon limefichua kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) lilikuwa limepanga njama za kushambulia ubalozi wa Marekani mjini Beirut ili kuibebesha lawama harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Hizbullah hasa baada ya Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.