-
Askari 40 wa Syria wauawa na kundi la kigaidi la Jabhat al-Nusra Idlib
Jan 23, 2020 23:22Makumi ya wanajeshi wa Syria wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi la Jabhat al-Nusra katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Mbunge wa Iraq: Maandamano ya Ijumaa ni kura ya maoni ya kuondoa askari wa Marekani
Jan 23, 2020 08:20Mbunge wa Muungano wa Al Fath katika Bunge la Iraq amesema maandamano ya kesho Ijumaa nchini Iraq ni sawa na kura ya maoni ya wananchi wanaopinga kuwepo wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo.
-
Rais Macron wa Ufaransa arushiana maneneo makali na polisi wa Israel mjini Quds
Jan 23, 2020 08:01Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ambaye yuko safarini katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amerushuiana maneno makali na polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Iran na Saudia ziko tayari kwa mazungumzo ya kutatua mivutano katika uhusiano wao
Jan 23, 2020 04:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kila moja imetangaza kuwa iko tayari kufanya mazungumzo kwa ajili ya kutatua mivutano iliyopo katika uhusiano wa pande mbili.
-
Rais wa Iraq: Kutaka majeshi ya kigeni yaondoke kumetokana na kuvunjwa heshima ya mamlaka ya kujitawala
Jan 23, 2020 04:11Rais Barham Salih wa Iraq amesema: Miito ya kutaka majeshi ya kigeni (Marekani) yaondoke Iraq ni jibu kwa kitendo cha kuvunjia heshima haki ya kujitawala ya nchi hiyo.
-
Kuundwa serikali mpya ya Lebanon na changamoto zinazoikabili
Jan 23, 2020 03:39Hassan Diab Waziri Mkuu Mpya wa Lebanon juzi usiku alitangaza rasmi baraza lake la mawaziri.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman mjini Tehran na udiplomasia wa kieneo
Jan 22, 2020 10:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Muhammad Javad Zarif jana Jumanne alikutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na mwenzake wa Oman, Yusuf bin Alawi kuhusu matukio ya karibuni katika eneo la magharibi mwa Asia.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
Jan 22, 2020 08:28Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi Wapalestina watatu katika uzio wa Ukanda wa Gaza.
-
Mwakilishi wa Syria UN: Damascus imeazimia kukomboa eneo la Idlib
Jan 22, 2020 04:36Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, uamuzi wa serikali ya Damascus wa kulikomboa eneo la Idlib kutoka kwenye makucha ya makundi ya kigaidi ni wa mwisho na hauwezi kubalidilishwa.
-
Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa mzingiro wa Gaza
Jan 22, 2020 02:46Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena umetoa wito wa kufutwa mzingiro wa eneo la Ukanda wa Gaza na kupelekwa misaada kwa wakazi wa eneo hilo.