-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Syria Baharini
Jan 21, 2020 21:33Majeshi ya Russia na Syria yamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bandari ya Tartus ya Syria katika pwani ya Bahari ya Mediterranea.
-
Shambulio la kombora katika mkoa wa Ma'rib Yemen; ulipizaji kisasi ndani ya muungano unaoongozwa na Saudi Arabia
Jan 21, 2020 21:32Watu wasiopuungua 120 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kombora dhidi ya kambi ya kijeshi ya al-Istiqbal katika mkoa wa Ma'rib nchini Yemen.
-
Yemen yakadhibisha madai ya Saudia na Imarati ya kuhusika Ansarullah katika shambulio kubwa huko Ma'rib
Jan 21, 2020 08:41Harakati ya wapiganaji wa Ansarullah wa Yemen imekanusha madai ya Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba ndiyo iliyohusika na shambulio kali la kombora katika ngome za wanamgambo wenye mfungamano na Riyadh katika mji wa Ma'rib kusini mwa Yemen.
-
Shambulizi la maroketi lajiri karibu na ubalozi wa Marekani nchini Iraq
Jan 21, 2020 04:05Eneo lenye ulinzi mkali la Green Zone karibu na ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad limeshambuliwa kwa maroketi usiku wa kuamkia leo.
-
Hamas yakosoa hatua ya Imarati kuialika Israel katika Maonyesho ya Dubai
Jan 21, 2020 03:57Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu ya kuualika utawala haramu wa Israel kushiriki katika Maonyesho ya Dubai ya 2020 ni aina fulani ya kuufanya wa kawaida uhusiano wa taifa hilo la Kiarabu na Tel Aviv.
-
Duru mpya ya maandamano nchini Lebanon, chanzo na matokeo yake
Jan 20, 2020 20:46Ghasia za usiku wa tarehe 18 ya mwezi huu kati ya waandamanaji na maafisa usalama huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon, kwa akali zimepelekea watu 200 kujeruhiwa.
-
Mohammed Tawfiq Allawi, ateuliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Iraq
Jan 21, 2020 00:20Duru za habari nchini Iraq zimetangaza kuwa, aliyekuwa waziri wa Mawasiliano, Mohammed Tawfiq Allawi ameteuliwa kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
-
Jasusi mmoja wa Marekani atiwa mbaroni mjini Beirut, Lebanon
Jan 20, 2020 09:44Maafisa usalama wa Lebanon wamemtia mbaroni mwandishi mmoja wa habari wa Kimarekani katika maandamano ya wananchi mjini Beirut kwa tuhuma za kuufanyia ujasusi utawala haramu wa Kizayuni.
-
Muhammad Muhyi: Wanajeshi wa muungano wa Marekani wanapasa kufikiria kuondoka Iraq
Jan 20, 2020 04:21Msemaji wa Brigedi za Harakati ya Hizbullah ya Iraq ameunga mkono uamuzi wa bunge na serikali ya Iraq wa kuwafukuza nchini humo wanajeshi magaidi wa Marekani na kueleza kuwa wanajeshi wa Marekani na wale wa muungano vamizi wanapasa kufikiria kuondoka Iraq.
-
Muungano wa Nato unawapatia silaha magaidi huko Syria
Jan 20, 2020 04:09Wizara ya Ulinzi ya Russia imearifu kuwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi Nato unawapatia silaha magaidi huko Syria.