-
Putin: Tunataraji vita vitamalizika mwakani 2020 nchini Syria
Dec 30, 2019 23:16Rais Vladimir Putin wa Russia amemtumia salamu rais mwenzake wa Syria na kusema kuwa, ana matumaini mwaka 2020 (unaoanza kesho Jumatano) utakuwa wa kumalizwa vita nchini Syria na kupatikana usalama na utulivu katika maeneo yote ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kushambuliwa na Marekani maeneo ya Hashdu Sha'bi nchini Iraq
Dec 30, 2019 09:55Maeneo ya Hashdu Sha'bi huko al-Qaim katika mkoa wa al-Anbar yalishambuliwa na Marekani Jumapili usiku ambapo makumi ya watu waliuawa na kujeruhiwa.
-
Netanyahu: Israel kusaini 'makubaliano ya amani' na nchi za Kiarabu
Dec 30, 2019 04:01Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv karibuni hivi itasaini makubaliano ya amani na kuufanya wa kawaida uhusiano wake na nchi kadhaa za Kiarabu.
-
Wayamen karibu milioni 4 wamekuwa wakimbizi kutokana na mashambulio ya Saudia
Dec 30, 2019 03:58Kituo cha Taarifa cha Baraza Kuu la Uongozi na Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu nchini Yemen kimetangaza kuwa, karibu watu milioni 4 wa nchi hiyo wamelazimika kuwa wakimbizi kufuatia mashambulio ya anga ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Rais wa Iraq alaani mashambulio ya Marekani dhidi ya Hashd al-Shaabi; idadi ya waliouawa yaongezeka
Dec 30, 2019 03:27Rais wa Iraq amelaani vikali mashambulio ya anga ya Marekani dhidi ya kambi za harakati ya wananchi ya Hashd al-Shaabi na kueleza kwamba, mashambulio hayo ni kinyume kabisa na makubaliano ya pande mbili na katu hayakubaliki.
-
Ufichuaji wa WikiLeaks kuhusu kubuniwa shambulizi la kemikali katika mji wa Duma nchini Syria
Dec 29, 2019 23:13Katika ufichuaji wa habari mpya za siri, mtandao wa WikiLeaks umetangaza kwamba, kinyume na madai ya vyombo vya habari vya madola ya Magharibi umefanikiwa kupata nyaraka kutoka kwa Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali zinazoonyesha kwamba wakazi wa mji wa Duma katika viunga vya Damascus, Syria hawakukumbwa na shambulizi la gesi yenye sumu.
-
Majimbo Tofauti nchini India yakataa kutekeleza sheria mpya ya uraia
Dec 29, 2019 23:12Mawaziri viongozi wa majimbo tofauti nchini India wamekataa kutekeleza sheria mpya ya uraia.
-
Kuwait kuanzisha upya safari za ndege kwenda Yemen
Dec 29, 2019 23:12Emad Al-Jalawi , Naibu wa Masuala ya Usalama na Amani ya Safari za Ndege na Uchukuzi nchini Kuwait amesema kuwa hivi karibuni safari za ndege kutoka nchi hiyo kwenda Yemen zitaanza.
-
Hamas yakataa mapatano ya aina yoyote na utawala wa Kizayuni
Dec 29, 2019 04:35Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amepinga kufikiwa mapatatano yoyote kati ya harakati hiyo na utawala wa Kizayuni kwa ajili ya kutoa suhula mbalimbali huko Ghaza mkabala na Hamas kusitisha uvurumishaji wa makombora katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Muhammad al Houthi: Saudi Arabia inapasa kukubali amani ili kuhitimisha matatizo ya kiuchumi yanayoikabili
Dec 29, 2019 04:31Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa Saudi Arabia inapasa kukubali amani ili kupunguza gharama kubwa za kuendesha vita huko Yemen ambazo zimeipelekea nchi hiyo ikabiliwe na matatizo chungu nzima ya kiuchumi.