-
WikiLeaks: Shambulio la kemikali la mji wa Duma, Syria lilikuwa la kubuni
Dec 28, 2019 04:35Mtandao wa ufichuaji habari za siri wa WikiLeaks umeanika nyaraka zinazoonyesha kwamba shambulio la kemikali la mwezi Aprili 2018 katika eneo la Duma nchini Syria ambalo lililalamikiwa sana na madola ya Magharibi na Kiarabu, lilikuwa la bandia.
-
Israel yatishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina
Dec 27, 2019 21:01Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine ametishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina.
-
Kuendelea utata kuhusu kufanyika uchaguzi wa Palestina
Dec 27, 2019 06:49Baada ya kupita zaidi ya miezi mitatu tokea Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) atangaze azma ya kufanyika uchaguzi, bado kunaendelea kushuhudiwa utata na hitilafu kuhusu kadhia hiyo.
-
Rais wa Iraq awasilisha barua ya kujiuzulu kwa bunge
Dec 27, 2019 03:43Rais Barham Salih wa Iraq amewasilisha barua ya kujiuzulu kwa bunge la nchi hiyo baada ya kukataa kumuidhinisha waziri mkuu mpya wa nchi hiyo kwa hoja kwamba amekataliwa na waandamanaji ambao wamekuwa wakiandamana dhidi ya serikali kwa zaidi ya miezi miwili sasa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel: Tutaendeleza mauaji ya kigaidi huko Gaza
Dec 26, 2019 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo utaanza tena kutekeleza mauaji ya kigaidi dhidi ya wanamapambano wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea + Video
Dec 26, 2019 08:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea kutokana na mashambulizi yake ya mara kwa mara katika Ukanda wa Ghaza.
-
Oman yajiandaa kumtangaza mrithi wa utawala baada ya hali ya afya ya Sultan Qaboos kuzidi kuwa mbaya
Dec 26, 2019 04:02Ripoti za karibuni za vyombo vya habari zimeeleza kwamba, Oman inajiandaa kumtangaza mrithi wa utawala baada ya hali ya afya ya kiongozi wa nchi hiyo Sultan Qaboos bin Said Al Said anayeugua saratani ya utumbo kuzidi kuwa mbaya.
-
Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen: Jibu letu kwa jinai za utawala wa Aal Saud litakuwa kali na la kuumiza
Dec 26, 2019 04:01Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesisitiza kuwa jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen katu hazitaachwa bila kujibiwa.
-
Kupasishwa sheria za uchaguzi nchini Iraq; hatua moja kuelekea mbele
Dec 26, 2019 03:37Jumanne ya tarehe 24 Disemba, Bunge la Iraq lilipasisha sheria mpya za uchaguzi nchini humo ambazo ni majumui ya vipengee 50.
-
Hamas: Kufanyika uchaguzi Quds hakuhitajii ruhusa ya Israel
Dec 25, 2019 21:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa kufanyika uchaguzi katika mji wa Quds hakuhitajii ruhusa ya Israel na kwamba utawala huo wa Kizayuni unapasa kufahamishwa suala hilo.