-
Amnesty International: Mauaji ya kimbari yanafanyika Gaza
Jul 27, 2025 23:12Agnes Calamard Mkuu wa Shirika la Amnsety International Jumamosi usiku alirusha puto la hewa moto katika anga ya Paris ambalo juu yake aliandika maneno yanayosomeka: "Mauaji ya kimbari yanaendelea huko Gaza. Sitisha mauaji hayo."
-
Kremlin: Msingi wa uhusiano na Kiev utajulikana baada ya kufikiwa malengo ya oparesheni maalumu ya kijeshi
Jul 27, 2025 23:11Dmitry Peskov Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin amesema kuwa msingi wa uhusiano wa baadaye kati ya Moscow na Kiev utaainishwa baada ya kufikiwa malengo ya oparesheni maalumu ya kijeshi.
-
Kwa nini Marekani imeitaka China iache kununua mafuta ya Iran?
Jul 27, 2025 23:03Waziri wa Fedha wa Marekani ametoa wito kwa China kuacha kununua mafuta ya Iran na Russia wakati huu inapokaribia duru mpya ya mazungumzo ya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China.
-
Marekani na China zashutumiana vikali kwenye Baraza la Usalama la UN kuhusiana na Russia
Jul 27, 2025 06:26Marekani na China zimeshutumiana vikali wakati wa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu madai ya kuihusisha Beijing katika mzozo wa Ukraine.
-
Waziri Mkuu wa Hungary: Tishio la kutokea Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia linazidi kuongezeka
Jul 27, 2025 06:25Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban amesema tishio la kuzuka Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia linazidi kuongezeka na kwamba Jamii ya Kimataifa inapaswa ifanye kila iwezalo kulizuia.
-
Askari mstaafu wa Marekani kwa BBC: Nilishuhudia uhalifu wa kivita huko Gaza
Jul 26, 2025 23:04Katika mahojiano na BBC, afisa mstaafu wa Kikosi Maalumu cha Jeshi la Marekani amefichua sababu ya kujiuzulu kwake kutoka kwenye timu za usalama za taasisi ya Gaza Humanitarian Foundation katika eneo la Palestina lililozingirwa, akisisitiza kuwa alishuhudia vikosi vya jeshi la Israel vikifanya uhalifu wa kivita.
-
Walimwengu waandamana kulaani kuwabakisha na njaa wakazi wa Gaza
Jul 26, 2025 08:06Wananchi wa miji mbalimbali ya Ulaya na katrikka mataifa ya Kiarabu wameandamana kupinga siasa za utawala wa kizayuni za njaa dhidi ya watu wa Gaza wakati wa vita vya mauaji ya kimbari vya utawala huo ghasibu vilivyodumu kwa miezi 21.
-
Mapigano kati ya Thailand na Cambodia yaendelea licha ya wito wa kusitisha vita
Jul 26, 2025 07:44Mapigano kati ya Thailand na Cambodia yameingia siku yake ya tatu licha ya kutolewa wito wa kusitisha vita hivyo.
-
Watu milioni 3 wamepoteza maisha kwa kuzama majini duniani muongo uliopita
Jul 26, 2025 04:05Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, takriban watu milioni 3 wamepoteza maisha kwa kuzama majini duniani.
-
Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa UN awahutubu waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni: Mnalalaje usiku kwa raha!
Jul 25, 2025 23:00Francesca Albanese Ripota Maalumu wa Haki za Bimadamu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ameashiria vifo vya kila siku vya makumi ya watoto wa Kipalestina kwa sababu ya njaa inayotokana na kukosa chakula na kuwahutubu waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni: Vipi mnaweza kulala usiku kwa raha!