-
Takwimu za kushindwa Trump katika vita vya pili dhidi ya Iran zavujishwa
Jul 25, 2025 03:03Tovuti za kufuatilia meli za mafuta zinaripoti kushindwa kwa Trump katika vita vya mafuta dhidi ya Iran. Ni baada ya kufeli juhudi za Donald Trump zilizolenga kupunguza mauzo ya mafuta ya Iran hadi sifuri kupitia vikwazo vya juu zaidi.
-
Tovuti ya data za ujasusi ya CIA yadukuliwa
Jul 25, 2025 02:40Wadukuzi wasiojulikana wamedukua tovuti ya Ofisi ya Kitaifa ya Upelelezi ya Marekani (NRO), ambayo hutumiwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na mashirika mengine ya upelelezi kusimamia kandarasi nyeti na kubadilishana taarifa na makampuni binafsi.
-
Je, Azimio la Baraza la Usalama Kuhusu Utatuzi wa Amani wa Migogoro Linaweza Kutekelezwa kwa Mujibu wa Hali ya Dunia ya Leo?
Jul 24, 2025 23:20Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio linalozitaka nchi zote wanachama kutumia kwa ufanisi mbinu za utatuzi wa amani wa migogoro.
-
Wabunge wa Ulaya watoa wito wa kuwekewa vikwazo Israel
Jul 24, 2025 23:13Wabunge 60 wa Bunge la Ulaya wametia saini barua ya pamoja wakitaka hatua za haraka zichukuliwe kuwaokoa raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Maafisa wa Uingereza na Umoja wa Mataifa waitaka London kulitambua rasmi taifa la Palestina
Jul 24, 2025 08:39Zaidi ya maafisa 50 wa zamani wa Uingereza na Umoja wa Mataifa wamemwandikia barua Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer wakimtaka alitambue rasmi taifa la Palestina.
-
Wall Street Journal yafichua: Mwanasheria Mkuu wa Marekani amemwambia Trump jina lake liko kwenye faila la Jeffrey Epstein
Jul 24, 2025 08:38Gazeti moja la Marekani limeripoti kwamba Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo Mei mwaka huu alimwambia Rais Donald Trump kwamba jina lake liko kwenye faili za Jeffrey Epstein, bilionea mfisadi na mhalifu wa biashara haramu ya ngono na unyanyasaji wa kingono wa watoto wa Marekani.
-
Swali la Leo: Je, kauli ya Kaja Kallas Kwamba “Machaguo Yote Yako Mezani Dhidi ya Israel” ina mashiko yoyote?
Jul 24, 2025 07:20Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amedai kuwa “mauaji ya raia wasio na hatia wa Kipalestina lazima yakome,” la sivyo, “Machaguo Yote Yatazingatiwa dhidi ya Israel.”
-
Makumi ya watu wafariki dunia katika ajali ya ndege ya abiria, Russia
Jul 24, 2025 07:01Ndege ya abiria ya Russia imeanguka mapema leo Alhamisi katika eneo la Amur Mashariki mwa nchi, ikiwa na abiria 49. Taasisi ya Huduma za Dharura za Russia inaamini kuwa watu wote 49 waliokuwa katika ndege hiiyo wamefariki dunia.
-
Brazil yajiunga katika kesi ya ICJ dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza
Jul 24, 2025 03:18Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazili imetangaza kuwa iko katika "hatua za mwisho" za kuwasilisha mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ uamuzi wa kujiunga na kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel kwa kuhusika na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza.
-
Russia yatoa sharti la kufanyika mkutano wa ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky
Jul 24, 2025 03:12Kiongozi mkuu wa ujumbe wa Russia katika mazungumzo na Ukraine, Vladimir Medinsky amesema, viongozi wa nchi hizo mbili inapasa wakutane baada ya mkataba wa amani kuwa tayari kutiwa saini, si vinginevyo.