-
Umoja wa Mataifa wahimiza usuluhishi wa amani wa migogoro
Jul 23, 2025 23:18Nchi 193 za Umoja wa Mataifa zimehimizwa kuongeza nguvu zaidi katika usuluhishi wa amani wa migogoro duniani.
-
Utafiti: Bei za vyakula yaathiriwa pakubwa na mabadiliko ya tabianchi
Jul 23, 2025 23:17Imeelezwa kuwa, bei za vyakula imeathiriwa mno na mabadiliko ya tabia nchi.
-
Kwa nini Marekani imejiondoa rasmi UNESCO?
Jul 23, 2025 05:28Marekani ilitangaza Jumanne, Julai 22, kwamba imejiondoa rasmi katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO.
-
Marekani yajitoa tena katika UNESCO kwa sababu ya Palestina
Jul 23, 2025 03:51Marekani imeamua kujiondoa katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa mara ya pili kwa sababu ya uamuzi uliochukuliwa na shirika hilo la UN wa kuikubali Palestina kuwa nchi mwanachama.
-
Uingereza yadokeza kuwa itachukua hatua zaidi dhidi ya Israel kutokana na hali ya 'kikatili' ya Ghaza
Jul 23, 2025 02:41Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David Lammy ameonya kuwa ikiwa usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza hautafikiwa hivi karibuni, zinaweza kuchukuliwa hatua zaidi dhidi ya Israel.
-
Mafaili ya siri yanayohusu mauaji ya Martin Luther King Jr yawekwa hadharani
Jul 23, 2025 00:18Serikali ya Rais wa Marekani Donald Trump imeweka hadharani maelfu ya mafaili na nyaraka za serikali zinazohusiana na mauaji ya nyota wa kupigania haki za kiraia Martin Luther King Jr. Siku ya Jumatatu, kurasa zipatazo 240,000 ziliwekwa kwenye tovuti ya Hifadhi ya Taifa, ambayo imeahidi kutoa nyaraka nyingi zaidi.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Machaguo yote dhidi ya Israel yako mezani
Jul 23, 2025 00:10Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametuma ujumbe katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X akisema: Mauaji ya watu wasio na ulinzi wa Palestina yanapasa kusitishwa; vinginevyo machaguo yote yako mezani.
-
Maandamano Bangladesh baada ya ndege ya kijeshi kuangukia skuli na kuua watu 31
Jul 22, 2025 15:11Mamia ya watu wameandamana nchini Bangladesh kudai uwajibikaji baada ya ndege ya kivita ya jeshi la anga kuangukia skuli moja katika mji mkuu Dhaka na kusababisha vifo vya watu 31 wakiwemo wanafunzi 25.
-
UN yasema SDG hatarini kuweza kufikiwa katika anga ya kisiasa iliyopo
Jul 22, 2025 14:36Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito kwa dunia kuongeza kasi na dhamira ya kweli katika kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yanayofikia ukomo wake 2030, akisisitiza kuwa malengo hayo yako hatarini kuweza kufikiwa katika anga ya kisiasa iliyopo hivi sasa duniani.
-
Seneta wa Russia: Trump ameangukia kwenye "mtego" wa Ukraine
Jul 22, 2025 11:23Kuhusu vita vya Ukraine na misimamo ya karibuni ya Rais wa Marekani, Seneta huyo wa Russia amesema: "Trump ameingia kwenye mtego wa Ukraine.