-
Jibu la swali la leo; vita vya siri vya serikali ya Uingereza na mashirika yanayounga mkono Palestina vikoje?
Jul 22, 2025 04:53Mashirika mawili yanayounga mkono Palestina nchini Uingereza yametangaza kuwa, akaunti zao za benki zimefungiwa kwa muda usiojulikana.
-
Takwimu za kutisha kuhusu hali ya umaskini barani Ulaya
Jul 22, 2025 01:02Licha ya sura yake ya kumetameta kama kimbilio la ufanisi na hali bora, takwimu zenye kushtua zinaonyesha kwamba Ulaya inaficha hali tete na ya kutisha ya kijamii. Takwimu zinaonyesha kuwa, umaskini unaenea katika vitovu vya miji mikubwa na vitongoji vilivyosahaulika vya miji ya Ulaya, na nafasi ambazo hapo awali zilitoa utulivu kwa tabaka la kati zinazidi kupungua.
-
Jibu kwa swali la leo; kwa nini Trump amewatishia tena wanachama wa BRICS?
Jul 21, 2025 09:19Rais wa Donald Trump Marekani amekariri tena tishio lake la kuzitoza ushuru wa ziada nchi wanachama wa kundi la BRICS.
-
Katibu Mkuu wa UN apongeza makubaliano ya amani ya DRC na M23
Jul 21, 2025 03:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amekaribisha kwa mikono miwili hatua ya kutiwa saini kwa Azimio la Kanuni kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi la waasi la M23.
-
Zelensky ataka afanye mazungumzo binafsi na Putin
Jul 20, 2025 11:22Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine kwa mara nyingine ametoa wito wa kufanyika mazungumzo binafsi kati yake na Rais Vladimir Putin wa Russia, akisema hiyo ndiyo njia pekee ya kupatikana amani ya kudumu.
-
Papa ‘ashambuliwa’ kwa msimamo wake kuhusu kushambuliwa kanisa Ghaza
Jul 20, 2025 10:58Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo anaandamwa na ukosoaji mkali kutokana na mjibizo aliotoa kuhusiana na shambulio la anga lililofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya kanisa pekee la Kikatoliki katika Ukanda wa Ghaza.
-
Ripoti: Mienendo ya Netanyahu inaitia wasiwasi White House
Jul 20, 2025 10:50Baadhi ya maafisa wakuu wa Marekani wameliambia shirika la habari la Axios kwamba, hofu inaongezeka ndani ya utawala wa Donald Trump juu ya tabia na mienendo ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, wakielezea mienendo hiyo kama ya kutojali, kuvuruga uthabiti, na wakati mwingine yenye ukosefu wa ukomavu.
-
Marekebisho ya Taylor Greene ya kuacha kuusaidia utawala wa Kizayuni yapingwa katika Kongresi ya Marekani
Jul 20, 2025 00:07Baraza la Wawakilishi la Marekani limepinga marekebisho ya Marjorie Taylor Greene, mbunge katika baraza hilo, kwa ajili ya kupunguza msaada wa kijeshi wa dola milioni 500 kwa Israel.
-
Maandamano dhidi ya Trump yafanyika katika miji zaidi ya 1500 Marekani
Jul 19, 2025 23:04Sheria mpya ya bajeti iliyopitishwa hivi karibuni nchini marekani, inayokandamiza wananchi wa kawaida huku ikiwapa matajiri punguzo la kodi, imeongeza hasira na msongo wa kifedha, ambapo asilimia 70 ya Wamarekani wanahisi msongo mkubwa wa kifedha kuliko wakati wowote ule.
-
Washiriki wa maandamano ya kuunga mkono Palestina wakamatwa Uingereza
Jul 19, 2025 23:03Polisi wa Uingereza wamemkamata zaidi ya watu 50 katikati ya London wakati wa maandamano ya kupinga marufuku ya kundi la Palestine Action linalounga mkono Palestina.