-
Sababu za India kupinga sera za kindumakuwili za EU ni zipi?
Jul 19, 2025 06:08Wizara ya Mambo ya Nje ya India imepinga vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia na kiwanda cha kusafisha mafuta cha India na pia "sera za kindumakuwili" za umoja huo katika uga wa biashara ya nishati.
-
Kremlin: Hatuna habari kuhusu mkutano wa Putin, Trump, Xi
Jul 19, 2025 02:13Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema hana ufahamu wowote kuhusu taarifa kwamba Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, mwenzake wa Marekani, Donald Trump na kiongozi wa China Xi Jinping watakutana nchini China karibuni hivi.
-
Serikali ya Trump kuteketeza tani 500 za chakula, dunia ikisakamwa na njaa
Jul 18, 2025 13:40Marekani inajiandaa kuharibu karibu tani 500 za chakula cha msaada wa dharura, ikiwa ni sehemu ya hifadhi kubwa ya tani 60,000 za chakula hicho iliyokwama katika maghala katika sehemu mbalimbali duniani, huku njaa ikiongezeka kote ulimwenguni.
-
Sababu za Kundi la The Hague kusimamisha biashara ya kijeshi na utawala wa kizayuni
Jul 18, 2025 11:20Nchi zinazounda Kundi la Hague, yaani The Hague Group zimetangaza kuwa zimesitisha biashara ya kijeshi na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Afisa wa zamani wa Pentagon: Huenda US ikaishiwa na makombora
Jul 18, 2025 10:44Mshauri wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon), Douglas Macgregor ameonya kuwa, Marekani inaweza kuishiwa na hifadhi yake ya makombora ndani ya siku nane.
-
Jibu la suali la leo; nini sababu ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa US kukosoa sera ya Trump kuhusiana na Iran?
Jul 18, 2025 08:53Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken, amekosoa mwelekeo wa rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran; na licha ya kuibua madai mengine mapya amesema: Iran bado haijaamua kuunda silaha za nyuklia na imetekeleza ahadi zake katika JCPOA.
-
Rais wa Brazil asema, Trump ni rais wa Marekani, si ‘mtawala mkuu’ wa dunia
Jul 18, 2025 03:27Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amepinga tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokana nchini humo, na kuapa kuwa "atajibu mapigo" dhidi ya hatua hiyo na kutetea maslahi ya watu wake.
-
UNICEF: Mashambulio ya Israel yanaua kila siku watoto 28 Wapalestina Ghaza
Jul 18, 2025 01:36Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF, Catherine Russell, ameweka hadharani takwimu za kutisha kuhusu athari za mashambulizi ya kinyama yanayoendelea kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Italia yaijia juu Israel kwa kushambulia kwa mabomu kanisa Gaza
Jul 17, 2025 11:43Waziri Mkuu wa Italia, Giorga Meloni jana Alkhamisi alikosoa vikali shambulio baya la Israel dhidi ya Kanisa la Kikatoliki katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais Gustavo Petro: Colombia lazima ivunje uhusiano wake na NATO
Jul 17, 2025 10:32Rais Gustavo Petro wa Colombia amesema nchi yake inapaswa kukata uhusiano wake na NATO kwa kuwa viongozi wa shirika hilo la kijeshi la Magharibi wanaunga mkono "mauaji ya halaiki" ya Wapalestina.