-
Wanafunzi Marekani waanzisha mgomo wa kula kulalamikia njaa iliyosababishwa na Israel huko Gaza
May 11, 2025 22:33Makundi ya wanafunzi nchini Marekani wameanzisha mgomo wa pamoja wa kususa kula katika kuonyesha mshikamano wao na raia wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza ambao wanakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula kutokana na sera za mauaji ya kimbari za Israel.
-
Putin apendekeza mazungumzo ya moja kwa moja na Ukraine kwa ajili ya 'amani ya kudumu'
May 11, 2025 22:31Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa wito akitaka kuanza tena mazungumzo ya moja kwa moja bila masharti kati ya nchi yake na Ukraine mjini Istanbul, Mei 15, ili kufikia makubaliano ya amani ya kudumu.
-
India na Pakistan zashutumiana kuvunja makubaliano ya usitishaji vita
May 11, 2025 08:35Licha ya madai ya kuheshimu makubaliano ya kusitisha vita kati ya Pakistan na India, lakini kila upande umekuwa ukiushutumu upande wa pili kuwa hauheshimu makubaliano hayo saa chache tu baada ya kufikiwa kwake.
-
Traore: Burkina Faso inataka ustawi wa kasi wa uhusiano na Russia
May 11, 2025 05:43Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, siku ya Jumamosi alisema anataka uhusiano wa nchi yake na Urusi ukue kwa kasi ya "kihistoria" na kupanuka katika maeneo mapya ya ushirikiano. Traore ametoa kauli hiyo wakati wa mkutano wake na Rais wa Russia, Vladimir Putin, mjini Moscow.
-
Marekani yaendelea kuwakandamiza wanafunzi wanaotetea Palestina
May 11, 2025 00:45Jaji mmoja nchini Marekani amemuachilia kwa dhamana mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tufts ambaye ni mtetezi wa Palestina, Rumeysa Ozturk, kutoka kizuizi cha uhamiaji cha Louisiana, huku serikali ya Donald Trump ikiendelea kuwakandamiza wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoandamana kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za Israel.
-
Je, vyuo vikuu vya Marekani vimekuwa wenzo wa kisiasa wa serikali ya Trump?
May 11, 2025 00:31Habari ya kusimamishwa wanachuo zaidi ya 65 wa Chuo Kikuu cha Columbia kwa sababu eti ya kushiriki kwao katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina, kwa mara nyingine imefichua makutano nyeti kati ya uhuru wa kujieleza, mamlaka ya kitaaluma na sera za usalama katika vyuo vikuu vya Magharibi.
-
Muungano mkubwa zaidi wa Norway wapiga kura kuisusia Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza
May 10, 2025 08:50Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi vya Norway (LO), kundi kubwa na lenye nguvu zaidi la wafanyakazi nchini humo limeidhinisha kususiwa pakubwa kiuchumi utawala wa Israel, katika hatua muhimu ya kudhihirisha mshikamano wa wafanyakazi wa Ulaya na Palestina.
-
Thomas Friedman amwambia Trump: Netanyahu si mshirika wetu, ni tishio kwa maslahi Marekani
May 10, 2025 08:48Mwandishi mashuhuri wa Marekani anayeiunga mkono Israel, Thomas Friedman ametuma barua kwa Rais Donald Trump akieleza kufurahishwa kwake na mienendo yake ya hivi karibuuni mkabala wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu. Friedman amesisitiza kuwa serikali hii ya Israel si mshirika wa Marekani na ina mienendo ambayo inatishia maslahi ya Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Pakistan yaanzisha operesheni ya kijeshi ya "Al-Bun-yan Al-Marsoos" dhidi ya India
May 10, 2025 03:26Baada ya India kufanya mashambulizi makubwa ya anga, jeshi la Pakistan limeamua kulipiza kisasi kwa kuanzisha mashambulizi ya anga, ya makombora na maroketi dhidi ya maeneo ya India. Operesheni hiyo imepewa jina la Al-Bun-yan al Marsoos yaani Jengo Lililoshikamana. Sambamba na kuanza operesheni hiyo, taarifa zinasema kuwa kumefanyika mashambulizi makubwa ya mtandao dhidi ya gridi ya umeme ya India.
-
China yasema inaunga mkono Misri dhidi ya 'ubabe’ wa Trump
May 10, 2025 00:57China imeonyesha uungaji mkono kwa mamlaka na maslahi ya Misri ikiwemo juu ya Mfereji wa Suez kufuatia matamshi ya ubabe ya rais wa Marekani.