-
China yasema inaunga mkono Misri dhidi ya 'ubabe’ wa Trump
May 10, 2025 00:57China imeonyesha uungaji mkono kwa mamlaka na maslahi ya Misri ikiwemo juu ya Mfereji wa Suez kufuatia matamshi ya ubabe ya rais wa Marekani.
-
US yaendelea kuwawekea mbinyo wanachuo wanaoitetea Palestina
May 09, 2025 23:27Chuo Kikuu cha Columbia nchini Marekani kimewasimamisha masomo zaidi ya wanafunzi 65 kufuatia maandamano yao ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ambayo yalitokea kwenye Maktaba ya Butler.
-
Mipaka iliyoacha nyuma ubinadamu
May 09, 2025 12:05Katika habari za karibuni kuhusu ukiukwaji wa haki za wahamiaji na wakimbizi barani Ulaya, shirika la misaada la SOS Humanity, limetoa ripoti iliyopewa jina la "‘Borders of (In)Humanity’," ambayo imechapisha mahojiano na wakimbizi 64 waliookolewa baharini, na kufichua ukubwa wa janga la safari za vifo za wakimbizi kutoka Afrika kwenda Ulaya.
-
Raia 5 wauawa katika mashambulizi ya India huko Kashmir
May 09, 2025 07:35Mashambulizi ya India katika eneo la Kashmiri linalotawaliwa na Pakistan yamewaua raia watano. Mauaji hayo yanaripotiwa kufuatia siku kadhaa za makabiliano makali kati ya India na Pakistan katika eneo la Kashmir.
-
Makamu wa Rais wa Marekani: Vita vya India na Pakistan 'havituhusu'
May 09, 2025 04:17Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance amesema, nchi hiyo haitaingilia mzozo kati ya India na Pakistan.
-
Gazeti la Israel: Trump anaweza wikiendi hii akatangaza makubaliano ya kumaliza vita Ghaza
May 09, 2025 03:48Rais wa Marekani Donald Trump huenda wikiendi hii akatangaza rasimu ya makubaliano ambayo yatamaliza vita vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza. Hayo yameripotiwa na gazeti la Kizayuni la Israel Hayom.
-
Kanisa Katoliki lapata Papa mpya, ni Kadinali Robert Prevost atakayejulikana kama Leo XIV
May 08, 2025 23:34Kanisa Katoliki duniani hatimaye limepata kiongozi mpya ambaye ni Kadinali Robert Francis Prevost atakayejulikana kama Leo XIV.
-
China yatangaza kuwa tayari kuzipatanisha India na Pakistan
May 08, 2025 22:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameelezea wasiwasi wake kuhusu mvutano uliozuka kati ya India na Pakistan na kutangaza kuwa, Beijing iko tayari kuchukua jukumu amilifu la upatanishi ili kupunguza mzozo kati ya nchi hizo mbili jirani za kusini mwa Asia.
-
Je, Dan Jarvis anasema nini? Ni nani na amefanya nini?
May 08, 2025 22:50Madai yaliyotolewa katika bunge la Uingereza siku ya Jumanne, Mei 6 na Dan Jarvis, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, kwa mara nyingine tena yameibua kile kinachodaiwa kuwa tishio la usalama kutoka Iran.
-
Putin: Russia na China ni watetezi wa ukweli wa kihistoria
May 08, 2025 07:20Moscow na Beijing zinaendelea kuwa watetezi thabiti wa ukweli wa kihistoria na zikikumbuka idadi kubwa ya watu waliopoteza maisha katika nchi zao wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, Rais Vladimir Putin wa Russia ameyasema hayo katika mazungumzo na Rais Xi Jinping wa China.