-
Wanafunzi sita wasimamishwa masomo Marekani kwa kuunga mkono Palestina
May 03, 2025 23:06Katikati ya mvutano unaoongezeka katika chuo cha Swarthmore College huko Pennsylvania, Marekani wanafunzi sita wamesimamishwa masomo bila kupewa haki ya kusikilizwa kwa kuanzisha kambi ya kuunga mkono Palestina.
-
Mabadiliko ndani ya Ikulu ya White House, ni zaidi ya marekebisho madogo
May 03, 2025 22:47Kufutwa kazi kwa Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Rais wa Marekani, Michael Waltz na naibu wake, Alex Wong, na kuteuliwa Marco Rubio, kama Kaimu Mshauri wa Usalama wa Taifa, kumekuwa na mwangwi mkubwa.
-
Msuguano wa India na Pakistan: Bidhaa za Pakistan zapigwa marufuku kuingia India
May 03, 2025 07:21India imetangaza kuzipiga marufuku bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka au kupitia Pakistan. Mamlaka ya biashara za kigeni ya India imetangaza kuwa marufuku hiyo itaanza kutekelezwa mara moja hali inayoashiria kushadidi mvutano baina ya mataifa hayo.
-
Katibu Mkuu wa UN: Akili Mnemba ni upanga wenye makali pande mbili, ina manufaa na madhara
May 03, 2025 03:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, waandishi wa habari wanakabiliwa na hatari kila uchao na kwamba teknolojia mpya ya akili mnemba au AI inayotumika katika tasnia hiyo licha ya kuwa na manufaa inaibua hatari mpya pia kwenye uhuru wa kujieleza.
-
Makamu wa Rais wa Marekani aishambulia Ujerumani, asema "imejenga upya Ukuta wa Berlin"
May 03, 2025 03:06Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance amelinganisha jinsi serikali ya Ujerumani inavyoamiliana na chama cha mrengo wa kulia cha Alternative for Germany (AfD) kuwa ni sawa na kujenga upya Ukuta wa Berlin.
-
Baada ya Trump kulegeza msimamo, sasa China yamwekea masharti
May 02, 2025 22:47China imeiwekea Washington masharti ya mazungumzo baada ya vita vya biashara na ushuru vilivyoanzishwa na Donald Trump kushindwa kuwa na taathira zilizotarajiwa mbali na kusababisha vurugu katika masoko ya fedha ya Marekani, jambo ambalo limemlazimisha Trump alegeze tena misimamo na kudai anataka mazungumzo na Beijing.
-
Kulaani nchi za Ulaya hatua ya Israel ya kuzuia misaada ya kibinadamu Gaza
May 02, 2025 22:46Huku mashambulizi ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza yakiendelea na hali ya mambo katika eneo hilo kuwa mbaya zaidi, Uhispania, Ubelgiji na Ireland, nchi tatu wanachama wa Umoja wa Ulaya zimekosoa vikali kitendo cha utawala ghasibu wa Israel cha kukiuka usitishaji vita na kuanzisha tena mashambulizi katika Ukanda wa Gaza.
-
Utendaji tata wa Trump katika siku 100 za kwanza za urais wake
May 02, 2025 09:29Zimepita siku 100 tangu Donald Trump aingie Ikulu ya White House nchini Marekani.
-
Adhanom: Ufadhili wa afya duniani unakabiliwa na mgogoro mbaya zaidi kuwahi kutokea
May 02, 2025 06:04Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonya kuwa afya ya kimataifa iko hatarini huku msaada wa wafadhili ukikatika na WHO ikikabiliana na nakisi kubwa ya bajeti.
-
Trump amfuta kazi Mshauri wa Usalama wa Taifa na naibu wake
May 02, 2025 03:23Ripoti za vyombo vya habari vya Marekani zinasema Mshauri wa Usalama wa Taifa, Michael Waltz na naibu wake, Alex Wong, wataacha nyadhifa zao kwa agizo la Rais Donald Trump.