-
Viongozi wa dunia wajiandaa kushiriki mazishi ya Papa, Roma
Apr 23, 2025 04:08Usalama umeimarishwa katika mji mkuu wa Italia Roma, kabla ya mazishi ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia yaliyopangwa kufafanyika siku ya Jumamosi.
-
Wakuu wa taasisi za elimu ya juu Marekani waungana kupinga sera za elimu za Trump
Apr 23, 2025 03:50Zaidi ya marais 100 wa vyuo vikuu na taasisi za elimu wamechapisha taarifa ya pamoja wakipinga sera za utawala wa Rais Donald Trump kwa taasisi za elimu ya juu, baada ya Chuo Kikuu cha Harvard kusema utawala huo unatishia uhuru wake.
-
Russia yapendekeza kuanzisha kituo cha diplomasia ya chakula katika BRICS
Apr 22, 2025 22:39Russia imependekeza kuanzishwa kituo maalumu cha diplomasia ya chakula ili kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na usalama wa chakula miongoni mwa nchi wanachama wa kundi la BRICS.
-
Kushadidi mivutano ya kisiasa baina ya Ufaransa na utawala wa Kizayuni
Apr 22, 2025 22:38Utawala wa Israel umefuta viza za wabunge na maafisa 27 wa Ufaransa wa mrengo wa kushoto siku mbili kabla ya safari yao ya kuelekea Palestina inayokaliwa kwa mabavu iliyopewa jina bandia la Israel.
-
Ripota wa UN amkemea balozi wa US kwa kuunga mkono 'jinai ya kivita' ya Israel ya kuizuilia misaada Ghaza
Apr 22, 2025 06:22Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na haki za binadamu katika ardhi za Palestina amemuonya balozi mpya wa Marekani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel kwamba kuzuia misaada ya kibinadamu isiingizwe katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro ni uhalifu wa kivita.
-
Kitendawili... Papa ajaye atatoka Afrika au Asia?
Apr 22, 2025 04:06Kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis kimeilazimisha Vatican kuitisha kongamano la kihistoria la kumchagua mrithi wake; lakini swali linaloulizwa ni kwamba, je, papa ajaye atatoka Afrika au Asia?
-
Nani anafuatia baada ya Wapalestina kufukuzwa kwao? Wasomi wa Ufaransa watetea uamuzi wa Macron
Apr 22, 2025 04:05Kundi la wasomi wa Ufaransa limelaani itikadi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kujiona bora na juu ya kila kitu.
-
Russia: Ukraine imekiuka usitishaji vita wa Pasaka kwa kutumia makombora ya Marekani
Apr 22, 2025 04:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa kombora la HIMARS lililotengenezwa Marekani limetumika katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine na kwamba huo ni ukiukaji wa usitishaji mapigano katika kipindi cha Pasaka.
-
Chuo Kikuu cha Harvard chafungua mashtaka dhidi ya utawala wa Trump
Apr 22, 2025 03:39Chuo Kikuu cha Harvard kimefungua mashtaka dhidi ya serikali ya Marekani kikitaka kumzuia Rais Donald Trump asisimamishe mabilioni ya dola ya bajeti ya Serikali ya Federali kwa chuo hicho na kulinda uhuru wake.
-
Wizi wa kipochi cha Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani wazua kizaazaa
Apr 21, 2025 23:33Ahadi za Donald Trump za kupunguza wizi na uhalifu nchini Marekani si tu ni ahadi chapwa, lakini pia watu wake muhimu ndani ya baraza la mawaziri nao hawajasalimika na wizi na uhalifu.