-
White House: Trump angali anataka Canada iwe jimbo la 51 la Marekani
Apr 16, 2025 23:00Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani angali ana nia ya kuiunganisha Canada na ardhi ya nchi hiyo na kuigeuza kuwa jimbo la 51 la Marekani.
-
China: Hatuogopi kupigana vita vya kibiashara na Marekani
Apr 16, 2025 22:59China imeonya kwamba "haiogopi" kupigana vita vya kibiashara na Marekani, ikikariri wito wa mazungumzo baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kusema kwamba Beijing lazima ichukue hatua ya kwenda kwenye meza ya mazungumzo.
-
Kiwewe cha Trump kwa hatua za China: Juhudi za Beijing za kuunda muungano dhidi ya Washington
Apr 16, 2025 22:58Rais wa Marekani Donald Trump ameshindwa kuficha kiwewe chake kwa kusema kuwa ziara ya Rais Xi Jinping wa China nchini Vietnam inalenga kuiharibia jina Marekani, huku kukiwa na ongezeko la vita vya ushuru kati ya Washington na Beijing.
-
Katibu Mkuu wa UN: Umiminikaji wa silaha na wapiganaji nchini Sudan unatia wasiwasi
Apr 16, 2025 08:00Wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vinatimiza miaka miwili na kuanza mwaka wa tatu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema, anatiwa wasiwasi na namna silaha na wapiganaji wanavyoendelea kumiminika nchini humo.
-
White House: Trump angali anataka Canada iwe jimbo la 51 la Marekani
Apr 16, 2025 08:00Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani angali ana nia ya kuiunganisha Canada na ardhi ya nchi hiyo na kuigeuza kuwa jimbo la 51 la Marekani.
-
Afisa wa ngazi ya juu wa EU: Mfumo wa dunia unasambaratika
Apr 16, 2025 04:22Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya amesema kuwa EU inapasa kuwa na mchango athirifu katika kuasisi mfumo mpya wa dunia huku ikiimarisha uwezo wake wa kijeshi na kiuchumi.
-
Trump akutana na maafisa wa sera za nje na usalama kuhusu mazungumzo na Iran
Apr 16, 2025 04:11Chombo kimoja cha habari cha Marekani kimeripoti kuwa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameitisha mkutano kuhusu mazungumzo yanayoendelea kuhusu makubaliano ya nyuklia na Iran.
-
Ni marufuku wenye paspoti za Israel kuingia Maldives kutokana na jinai za Wazayuni Ghaza
Apr 15, 2025 22:50Maldives haitawaruhusu tena watu wenye pasi za kusafiria za utawala wa Kizayuni wa Israel kuingia nchini humo.
-
Iran yasisitiza kuhusu kulindwa misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa
Apr 15, 2025 22:49Katika mkutano wa ngazi ya juu wa Kundi la Marafiki wa Kulinda Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliofanyika Moscow, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisheria na kimataifa, Kazem Gharibabadi, amesisitiza umuhimu wa kufufua mfumo wa kimataifa wa pande nyingi (multilateralism) na kulinda misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Russia: Hatukimbizani na yeyote ili kupata ahueni ya vikwazo
Apr 15, 2025 03:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema katika hali ambayo biashara kati ya nchi hiyo na Marekani imeshuhudia mdororo mkubwa kutokana na "vikwazo haramu vya Washington," lakini Moscow "haikimbizani na mtu yeyote" kwa ajili ya kuondolewa vizuizi hivyo.