-
Ujerumani yajitutumua, yatoa onyo dhidi ya Marekani
Feb 22, 2025 08:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Ulaya haipaswi kusita kuweka mashinikizo dhidi ya Marekani, iwapo Washington itashindwa kukumbatia 'demokrasia ya kiliberali'.
-
Wafanyakazi wa EU walalamikia Brussels kuiunga mkono Israel
Feb 22, 2025 08:17Makumi ya wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya wamekusanyika Brussels, mji mkuu wa Ubelgiji, kulalamikia uungaji mkono wa jumuiya hiyo kwa utawala wa Israel.
-
Theluthi moja ya Wacanada wanaichukulia Marekani kuwa ni "adui" wa nchi yao
Feb 22, 2025 02:24Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa idadi kubwa ya Wacanada wanaitazama Marekani kama adui yao kutokana na kauli na vitisho vilivyotolewa na rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya nchi yao.
-
Wanafunzi: Marufuku ya Hijabu Ufaransa ni 'Ubaguzi wa Rangi na Chuki Dhidi ya Uislamu'
Feb 21, 2025 23:42Chama cha Wanafunzi Waislamu wa Ufaransa (EMF) kimelaani vikali pendekezo la sheria inayopiga marufuku uvaaji wa Hijabu katika mashindano ya michezo, likiitaja kuwa "ya kibaguzi, ya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ya ubaguzi wa kijinsia."
-
Kwa nini nchi za Ulaya zitashindwa tu katika kamari na Trump
Feb 21, 2025 09:20Kikao cha viongozi wa nchi kadhaa za Ulaya ambacho kilifanyika hivi karibuni huko Paris kuhusu mgogoro wa Ukraine kilimalizika bila natija yoyote.
-
Trump asisitiza tena kuigeuza Canada jimbo la 51 na kuzipora Greenland na Mfereji wa Panama
Feb 21, 2025 07:17Rais Donald Trump wa Marekani amesisitiza tena juu ya nia yake ya kuiunganisha Canada na Marekani na kuifanya jimbo la 51 la nchi hiyo, pamoja na azma yake ya kulinyakua eneo la Greenland na Mfereji wa Panama.
-
EU yamkingia kifua Zelensky baada ya kushambuliwa vikali na Trump
Feb 21, 2025 03:20Mvutano kati ya Ulaya na Marekani umeendelea kushtadi, baada ya viongozi wa nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya kumkingia kifua Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine, aliyeshambulia kwa maneno makali na Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni.
-
Matakwa ya mashirika ya haki za binadamu ya kutopatiwa Israel vipuri vya ndege za kivita za F-35
Feb 20, 2025 22:53Muungano wa Kimataifa wa mashirika 232 ya kutetea haki za binadamu umezitaka nchi mbalimbali zinazohusika katika uundaji za ndege za kivita aina ya F-35 kuacha kuipatia Israel vipuri vya ndege hizo.
-
Hatima ya ajabu ya maiti ya mtu aliyechoma moto Qur'ani nchini Sweden!
Feb 20, 2025 09:09Baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa mwili wa Salwan Momika, aliyechoma moto nakala kadhaa za kitabu kitakatifu cha Mwenyezi Mungu, Qur'ani, ulichomwa baada ya ndugu zake kukataa kupokea mwili wake.
-
Wabunge EU: Ulaya haiwezi kuendelea kuitegemea Marekani
Feb 19, 2025 08:34Wabunge wa Bunge la Ulaya wamesema bara hilo haliwezi kuendelea kuitegemea kikamilifu Marekani kwa ulinzi; na kutoa wito wa kuimarisha uwezo wa kiulinzi wa Ulaya sambamba na kuendelea kuiunga mkono Ukraine.