-
Matukio ya chuki dhidi ya Waislamu UK yamevunja rekodi 2024 kutokana na vita vya Israel Ghaza
Feb 19, 2025 02:59Idadi ya matukio na vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu nchini Uingereza iliongezeka kufikia kiwango cha juu zaidi mwaka 2024. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa zilizokusanywa na shirika la ufuatiliaji la Tell MAMA, ambalo limesema vita vya Ghaza "vimechochea kupita kiasi" masuala ya chuki dhidi ya Waislamu kwenye mitandao ya kijamii.
-
Seneti ya Ufaransa yajadili kupiga marufuku hijabu, kusujudu kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwenye michezo, AI yapinga
Feb 19, 2025 00:25Shirika la kuteta haki za binadamu la Amnesty International limesema wabunge wa Ufaransa lazima wakatae muswada wa kibaguzi ambao utapiga marufuku uvaaji wa nguo na alama eti "zinazoonekana kuwa za kidini" wakati wa mashindano ya michezo yote ya Ufaransa.
-
Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine
Feb 18, 2025 10:11Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni amesema, Umoja wa Ulaya haupaswi kuchukua msimamo ambao utakinzana na sera ya Marekani kuhusu Ukraine. Hayo ni kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Italia ANSA.
-
Je, BRICS inafuatilia sera zipi katika duru hii mpya?
Feb 18, 2025 01:01Brazil, ikiwa mwenyekiti mpya wa kundi la BRICS, imefafanua mipango ya kundi hili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kibiashara, kisiasa na kiusalama.
-
Marufuku ya TikTok nchini Marekani inalenga kukandamiza maudhui dhidi ya Israel
Feb 18, 2025 00:51Marufuku ya TikTok nchini Marekani ilichochewa na Israel na inalenga kukandamiza wenye kusambaza maudhui zinazounga mkono Palestina na kulaani Israel.
-
Ngumi zapigwa katika mechi ya hoki ya barafu baada ya wimbo wa taifa wa Marekani kuzomewa
Feb 17, 2025 08:45Mashabiki wa Marekani na Canada wametwangana ngumi katika mechi ya hoki ya barafu baada ya wimbo wa taiifa wa Marekani kuzomewa.
-
Wananchi wa Japan waandamana kupinga mpango wa Trump wa kuwafukuza Wapalestina Gaza
Feb 17, 2025 07:54Wananchi wa Japan wamefanya maandamano makubwa mjini Tokyo kupinga mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuwaondoa kwa nguvu wakazi wa Ukanda wa Gaza kutoka katika ardhi yao.
-
Chicago yamuenzi mtoto Muislamu Mpalestina wa miaka 6 aliyeuliwa kikatili kwa kuchomwa kisu mara 26
Feb 17, 2025 03:17Viongozi wa mji wa Plainfield ulioko katika jimbo la Chicago nchini Marekani, wameamua kuupa uwanja wa michezo na burudani kwa watoto jina la mtoto mmoja wa Kiislamu mwenye asili ya Palestina.
-
China: Kuwepo kwa 'Mfumo wa Kambi Kadhaa' duniani ni jambo lisiloweza kuepukika
Feb 16, 2025 23:38Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi ameashiria mabadiliko ya kimuundo yanayojiri katika mfumo wa kimataifa na kubainisha kuwa nchi yake inatilia mkazo ulazima wa dunia kuelekea kwenye mfumo wa kambi kadhaa.
-
Israel yapokea tena shehena ya makombora mazito kutoka US iliyokuwa imezuiliwa kupewa na Biden
Feb 16, 2025 23:37Utawala wa Kizayuni wa Israel umepokea shehena ya mabomu mazito ya MK-84 kutoka Marekani baada ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuondoa kizuizi cha uuzaji wa silaha hizo kilichokuwa kimewekwa na serikali ya mtangulizi wake Joe Biden. Hayo yamethibitishwa na Israel Katz, waziri wa vita wa utawala huo ghasibu.