-
Upepo mkali warejea Los Angeles, Marekani, wateketeza maelfu ya hekta za ardhi
Jan 23, 2025 09:37Jimbo la California, na haswa mji wa Los Angeles, kwa mara nyingine tena umekumbwa na moto mkubwa ambapo awamu hii mpya ya moto wa nyika imerejea na upepo mkali zaidi, ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya mji huo kuteketezwa kwa moto mkali usiozuilika ambao umeua watu wasiopungua 27 na kuharibu majengo 12,300.
-
Madai ya Trump kuhusu maeneo ya nchi nyingine, dhihirisho la ubeberu wa hali ya juu
Jan 23, 2025 08:57Hatua isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoa amri ya kubadili jina la "Ghuba ya Mexico" kuwa "Ghuba ya Marekani" imekabiliwa na hisia kali kutoka Mexico.
-
Trump akosolewa kwa kuirejesha Ansarullah katika 'orodha ya magaidi'
Jan 23, 2025 04:19Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamekosoa vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kuanzisha mchakato wa kuirejesha Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha ya Washington ya makundi ya 'kigaidi'.
-
Mashirika ya haki yaonya; Trump atarejesha marufuku dhidi ya Waislamu
Jan 23, 2025 04:07Mashirika ya kutetea haki za kiraia nchini Marekani yameonya kuwa, amri ya utendaji iliyosainiwa na Rais Donald Trump siku ya Jumatatu inaweka msingi wa kurejesha marufuku ya wasafiri kutoka nchi zenye Waislamu na Waarabu wengi kuingia Marekani.
-
Aliyeteuliwa na Trump kuwa balozi UN: Israel ina 'haki kibiblia' ya kuupora Ukingo wa Magharibi wa Palestina
Jan 23, 2025 00:03Aliyeteuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuwa balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa amekuwa afisa wa karibuni zaidi wa serikali hiyo mpya kutangaza na kutetea imani kwamba utawala wa Kizayuni wa Israel una mamlaka na haki kwa mujibu wa maandiko ya Biblia ya kuunyakua Ukingo wa Magharibi wa ardhi ya Palestina unaoukalia kwa mabavu.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Hakuna ushahidi kwamba, Iran inatengeneza silaha za nyuklia
Jan 22, 2025 23:22Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema kuwa, hakuna ushahidi wa kuthibitisha kwamba, Iran inatengeneza silaha za nyuklia.
-
Shambulio la kisu Ujerumani, wawili wauawa
Jan 22, 2025 23:19Watu wawili, yaani mtu mzima na mtoto mmoja, waliuawa katika shambulio la kudungwa kisu nchini Ujerumani jana Jumatano.
-
WHO yasikitishwa na Marekani kujiondoa kwenye shirika hilo
Jan 21, 2025 23:19Shirika la Afya Duniani (WHO) limeelezea masikitiko yake kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuiondoa nchi hiyo kwenye shirika hilo. WHO imesema inatumai serikali mpya ya Washington itaangalia upya uamuzi wake huo.
-
Maandamano ya Kwanza Dhidi ya Sera za Trump huko Washington
Jan 21, 2025 10:58Wakati ambapo Donald Trump, rais mteule wa Marekani, ameapishwa rasmi Jumatatu, tarehe 20 Januari, maandamano dhidi ya sera zake tayari yameanza. Katika muktadha huu, maelfu ya Wamarekani, wengi wao wakiwa wanawake, wamekusanyika katika mitaa ya Washington kuandamana dhidi ya sera za Trump.
-
Umoja wa Mataifa waonya: Njia ni ndefu mbele ya kujenga upya maisha huko Ghaza
Jan 21, 2025 07:35Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari ukisema kuwa kuna njia ndefu ya kuyajenga upya maisha ya watu wa Ghaza hata baada ya kuanza kumiminika huko misaada ya kibinadamu baada ya kufikiwa makubaliano ya kusimamisha vita kati ya HAMAS na utawala wa Kizayuni wa Israel.