-
Guterres: Misaada ya matibabu lazima iingie Gaza bila kizuizi chochote
Jan 21, 2025 03:46Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa ili kuokoa maisha ya wagonjwa na kuwatibu waliojeruhiwa, msaada wa matibabu lazima uingie Gaza bila vikwazo vyovyote.
-
Trump aapa kuweka hadharani nyaraka za siri za mauaji ya kina Kennedy na Martin Luther King Jr.
Jan 20, 2025 23:04Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameahidi kuweka hadharani nyaraka za serikali zilizoainishwa kuwa za siri zaidi, zinazohusiana na mauaji ya Rais John F. Kennedy, Seneta Robert F. Kennedy, na mwanaharakati wa haki za kiraia Martin Luther King Jr.
-
Uchunguzi: Gen Z wanasumbuliwa na matatizo ya kiafya na kiakili
Jan 20, 2025 07:56Utafiti mpya umegundua kuwa Kizazi cha Z (Generation Z) kinatatizika katika nyanja zote za maisha, na kinasumbuliwa na kuporomoka kwa kasi afya ya akili na mwili, hali ya kifedha na kijamii, na kukumbwa na mogoro wa mapema wa kipindi cha katiakati ya umri.
-
Christopher Hedges: Nasikitishwa na tabia ya kuwataja Waislamu kuwa ni mashetani
Jan 20, 2025 04:17Mwandishi wa habari wa Marekani, Christopher Hedges, amesema anasikitishwa na jinsi Waislamu wanavyodhihirishwa katika nchi za Magharibi katika sura ya mashetani akisisitiza kwamba utamaduni wa Kiislamu ni tofauti kabisa na sura potovu inayowasilishwa.
-
Wakuu wa Amerika Kusini: Uamuzi wa Trump wa kuwafukuza wahamiaji ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jan 19, 2025 08:02Katika kipindi cha kukaribia kuanza awamu nyingine ya utawala wa Donald Trump kama Rais wa Marekani, wawakilishi na maafisa wa nchi mbalimbali za Amerika Kusini, katika tamko lao, wamebainisha wasiwasi wao kuhusu utekelezaji wa sera ya kufukuzwa wahamiaji kutoka nchi tofauti.
-
Russia: Magharibi inaudhoofisha Umoja wa Mataifa na kuuondolea itibari yake
Jan 19, 2025 07:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuhusu vitendo vya Magharibi vinavyolenga kuudhoofisha Umoja wa Mataifa.
-
Nebenzya: Marekani ndiyo sababu ya mgogoro katika Asia Magharibi
Jan 19, 2025 02:51Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa: Kushadidi mgogoro wa sasa katika eneo la Asia Magharibi, ambao haujawahi kuonekana hapo kabla, ni matokeo ya sera mbaya za Marekani.
-
Maelfu waandamana London Uingereza kuunga mkono Palestina
Jan 18, 2025 23:08Maelfu ya wafuasi wa Palestina wameandamana katika mji mkuu wa Uingereza London na kutoa wito wa kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya kusitisha vita kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Canada: Tuko tayari kujibu vitisho vya ushuru vya Trump
Jan 18, 2025 07:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada amesema kuwa nchi hiyo imejiandaa kujibu hatua yoyote ya Washington ya kuiwekea Canada ushuru mpya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada ameeleza haya siku chache kabla Rais mteule wa Marekani, Donald Trump hajaanza kazi rasmi katika Ikulu ya White House.
-
Mwanadiplomasia wa zamani wa US: Jinai za Ghaza 'zitamsakama' Blinken hadi mwisho wa maisha yake
Jan 17, 2025 23:54Mwanadiplomasia wa Marekani aliyejiuzulu mwaka jana kulalamikia vita vya Ghaza na uungaji mkono wa Washington kwa vita hivyo amesema, jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika vita hivyo 'zitamsakama' waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Antony Blinken kwa muda wote uliosalia wa maisha yake.