-
Makundi ya kutetea Palestina ya Uingereza: Amani ya kudumu huko Gaza itapatikana kwa kukomesha uvamizi wa Israel
Jan 17, 2025 23:11Makundi kadhaa ya wanaharakati wa Kipalestina nchini Uingereza yametoa wito wa kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina, baada ya kutangazwa makubaliano ya kuzisitisha vita kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na utawala ghasibu wa Israel.
-
Kuchukizwa na Uzayuni, Safari Hii Uhispania
Jan 17, 2025 23:07Timu ya Maccabi Tel Aviv imeibua tena hisia kali barani Ulaya, ambapo mechi ya timu ya mpira wa kikapu ya klabu hiyo huko Uhispania iliwakutanisha maelfu ya waandamanaji mitaani.
-
Je, Marekani itaiondoa Cuba kwenye Orodha ya Nchi Zinazounga Mkono Ugaidi?
Jan 17, 2025 10:25Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa rais wa nchi anayeondoka mamlakani Joe Biden, ataiondoa Cuba kwenye orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi.
-
Wahispania waandamana wakipinga kuwasili timu ya mpira wa kikapu ya Maccabi ya Israel
Jan 17, 2025 03:47Wakaazi wa mji mkuu wa Uhispania Madrid wameandamana wakipinga kuingia mjini humo timu ya mpira wa kikapu ya Maccabi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unatenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
Biden atoa wito wa kufanyia marekebisho Katiba ya Marekani, aonya dhidi ya kulimbikizwa madaraka mikononi mwa matajiri
Jan 16, 2025 07:38Rais anayeondoka wa Marekani, Joe Biden, ametoa wito wa kufanyiwa marekebisho Katiba ya nchi hiyo ili kuzuia rais yeyote kupata kinga ya uhalifu anaoweza kuufanya akiwa madarakani.
-
UN yataka kuheshimiwa kikamilifu makubaliano ya kusimamisha vita Ghaza
Jan 16, 2025 04:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa pande zote kuheshimu kikamilifu makubaliano ya kusitisha mapigano huko Ghaza.
-
Sullivan: Enzi ya ukuu wa Marekani imekwisha
Jan 15, 2025 23:06Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, amekiri kwamba: Zama za Marekani kuwa juu zaidi ya nchi nyingine zimekwisha na kuyoyoma.
-
Rais wa Argentina apewa tuzo kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza!
Jan 15, 2025 23:06Rais wa Argentina amepewa tuzo maalumu ya Wazayuni, "Tuzo ya Nobel ya Kiyahudi," kutokana na "uungaji mkono wake usio na mipaka kwa Israel" katika uhalifu na mauaji ya kimbari yanayofanyika huko Gaza.
-
Ynetnews: Trump amemuahidi Netanyanu atamruhusu akiuke makubaliano mapya ya Ghaza
Jan 15, 2025 08:01Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameahidi kumruhusu waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu aanze tena kufanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza baada ya kutia saini makubaliano yanayotarajiwa kutangazwa wakati wowote kutoka sasa ya kusitisha mapigano na harakati ya Hamas. Hayo yameelezwa na duru za habari za Israel.
-
Hatimaye Rais wa Korea Kusini aliyeuzuliwa akamatwa, tukio la kwanza katika historia ya nchi hiyo
Jan 15, 2025 07:53Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol ametiwa mbaroni kwa jaribio lake lililofeli la kuweka sheria ya kijeshi, baada ya mamia ya maafisa wa kupambana na ufisadi na polisi kuvamia makazi yake na kuhitimisha mzozo uliodumu kwa wiki kadhaa.