-
Hatimaye Rais wa Korea Kusini aliyeuzuliwa akamatwa, tukio la kwanza katika historia ya nchi hiyo
Jan 15, 2025 07:53Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol ametiwa mbaroni kwa jaribio lake lililofeli la kuweka sheria ya kijeshi, baada ya mamia ya maafisa wa kupambana na ufisadi na polisi kuvamia makazi yake na kuhitimisha mzozo uliodumu kwa wiki kadhaa.
-
Cuba yaungana na kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Jan 15, 2025 07:25Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imetangaza kuwa Cuba imewasilisha ombi la kujiunga na kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Magereza ya Uingereza; uwanja wa kujifaragua magenge ya uhalifu
Jan 15, 2025 04:08Mkaguzi Mkuu wa Magereza nchini Uingereza ametahadharisha kuwa matumizi ya ndege zisizo na rubani (droni) kuingiza silaha na mihadarati katika magereza ya nchi hiyo ni tishio kwa usalama wa taifa licha ya ulinzi mkali uliopo.
-
Trump asema atakutana na Putin 'haraka sana' mara baada ya hafla ya kuapishwa kuwa rais
Jan 14, 2025 23:15Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa anapanga kukutana na Rais wa Russia Vladimir Putin "haraka sana" baada ya kuapishwa Januari 20.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kutiwa mbaroni Benjamin Netanyahu
Jan 14, 2025 06:58Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.
-
Kundi la Wayahudi lawataka polisi wa London kufuta marufuku ya maandamano yanayoiunga mkono Palestina
Jan 14, 2025 04:16Zaidi ya Wayahudi 660 mashuhuri wa Uingereza wametoa wito kwa Polisi wa Metropolitan kubatilisha marufuku ya maandamano ya kuunga mkono Palestina yaliyopangwa kufanyika nje ya makao makuu ya shirika la utangazaji la Uingereza, BBC, mjini London baadaye wiki hii.
-
Elon Musk: Waziri Mkuu Uingereza alitaka kuhujumu uchaguzi wa Marekani, ni mhalifu wa ngono
Jan 14, 2025 04:14Mkuu wa Idara ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani amesisitiza kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza alikusudia kuingilia uchaguzi wa rais wa hivi majuzi wa Marekani.
-
Trudeau: Canada haitakuwa jimbo la 51 la Marekani
Jan 13, 2025 07:18Waziri Mkuu wa Canada ambaye ataondoka madarakani mwezi Machi mwaka huu amesema kuwa mazungumzo kuhusu kuibadilisha Canada na kuwa jimbo la 51 la Marekani hayatafanikiwa.
-
Naibu Waziri wa Ulinzi wa zamani wa Uingereza akamatwa kwa uhalifu wa ngono
Jan 13, 2025 03:12Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ulinzi wa Uingereza ametiwa mbaroni na kupigwa pingu kwa tuhuma za kufanya uhalifu wa ngono.
-
Marekani yaendelea kuteketea kwa moto
Jan 13, 2025 03:10Hadi hivi sasa serikali ya Marekani imeshindwa kuzima moto mkubwa uliolikumbwa jimbo la California huku taarifa zikisema kuwa, takriban nyumba na maeneo ya biashara 35,000 ya mji wa Los Angeles yamekatikiwa na umeme na serikali ya Marekani imeshindwa kuwarejeshea wananchi huduma hiyo muhimu sana.