-
Chama kinachopiga vita Uislamu Uholanzi chapendekeza kifungo jela kwa kubeba Qur'ani
Jan 13, 2025 00:03Katika msimamo wake wa hivi karibuni dhidi ya Uislamu, chama chenye misimamo mikali cha Uholanzi "The Party for Freedom" kimetaka kupitishwa sheria ya kumfunga jela mtu yeyote ambaye ana nakala ya Qur'ani.
-
Axios: Denmark iko tayari kuiruhusu US iimarishe uwepo wake wa kijeshi katika eneo la Greenland
Jan 12, 2025 23:58Tovuti ya habari ya Axios imeripoti kuwa Denmark imewasiliana kimyakimya na timu ya rais mteule wa Marekani Donald Trump na kuonyesha utayari wa kujadili kuimarishwa uwepo wa jeshi la Marekani katika eneo la Greenland.
-
Awamu mpya ya mashambulizi ya jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Jan 12, 2025 23:56Jeshi la Myanmar limekiangamiza kijiji cha Waislamu katika jimbo la Rakhine katika duru mpya ya jinai na uhalifu unaofanywa na Mabudha dhidi ya Waislamu.
-
Maandamano makubwa yafanyika Paris kuunga mkono Palestina
Jan 12, 2025 09:04Mji mkuu wa Ufaransa Paris umeshuhudia maandamano makubwa ya kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za utawala dhalimu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Jahanamu isiyo na mwisho huko Marekani; Moto unaendelea kuitafuna Los Angeles
Jan 12, 2025 04:29Idadi ya watu waliopoteza maisha katika janga la moto ulioukumba mji wa Los Angeles nchini Marekani imeongezeka.
-
Walimwengu waendelea kuandamana kuunga mkono Palestina
Jan 11, 2025 23:10Maandamano ya kuunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel yameendelea kushuhhudiwa katika pembe mbalimbali duniani.
-
Moto wa Los Angeles; Ishara ya uzembe wa serikali ya Marekani
Jan 11, 2025 07:14Mji wa Los Angeles katika jimbo la California, Marekani, umekuwa ukiteketea kwa moto usiozuilika kwa siku kadhaa sasa katika msimu wa baridi kali na kuwaacha maelfu ya watu bila ya makazi. Moto huo pia umesababisha hasara na uharibifu mkubwa unaotajwa kuwa ni wa aina yake katika historia ya majanga nchini Marekani.
-
Hasara za moto huko Los Angeles zinakadiriwa kuwa dola bilioni 150
Jan 11, 2025 03:11Kampuni ya huduma ya utabiri wa hali ya hewa ya Marekani imetangaza kwamba moto wa Los Angeles ni mojawapo ya majanga yaliyosababisha hasara kubwa zaidi katika historia ya Marekani, na kwamba kiasi cha uharibifu kinazidi dola bilioni 150.
-
Mahakama ya New York yamhukumu Trump katika kesi ya ufisadi
Jan 11, 2025 03:08Mahakama ya New York jana ilitoa hukumu yake dhidi ya rais mteule wa Marekani, Donald Trump katika kesi ya faili la ufisadi wa kingono.
-
Hadi ifikapo 2050 Waislamu watakuwa khumsi moja ya watu wote barani Ulaya
Jan 10, 2025 23:27Tovuti ya habari ya Globe Eye News imeripoti kuwa idadi ya Waislamu barani Ulaya itazidi kuongezeka katika kipindi cha miaka ijayo.