-
Wataalamu: Ushahidi wa Ya'alon kuhusu uhalifu wa kivita huko Gaza unafungua mlango wa mashtaka ya kimataifa dhidi ya viongozi wa Israel
Dec 02, 2024 07:26Wataalamu wa sheria na masuala ya kisiasa wamekubaliana kwa kauli moja kwamba kauli zilizotolewa na Waziri wa zamani wa Ulinzi wa Israel ambaye pia aliwahi kuwa mkuu wa ya utawala huo, Moshe Ya'alon, akikiri kwamba jeshi la utawala huo ghasibu limefanya uhalifu wa kivita na mauaji ya kimbari kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, ni ushahidi tosha wa kisheria ambao unaweza kutegemewa na mahakama za kimataifa katika kuwafungulia mashtaka viongozi wa Israel.
-
Maandamano dhidi ya Israel yafanyika katika nchi mbalimbali
Dec 02, 2024 03:37Maelfu ya wafuasi wa wananchi wa Palestina wamefanya maandamano katika miji mingi muhimu duniani ikiwemo Paris, Berlin, Santiago, Amsterdam, Copenhagen, Istanbul, Rome, Manchester na London kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Idadi ya wafungwa Ufaransa yavunja rekodi huku wasiwasi wa msongamano ukiongezeka
Dec 01, 2024 23:07Wasiwasi umeibuka katika magereza ya Ufaransa baada ya idadi ya wafungwa kuongezeka na kuibua wasiwasi wa kutokea msongamano katika magereza ya nchi hiyo.
-
Naibu Waziri wa Russia aonya: Ipo hatari ya kuingia kwenye vita vya atomiki na Marekani
Dec 01, 2024 02:45Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Ryabkov ametahadharisha kuhusu "hali ya maafa" ya kutokea makabiliano ya nyuklia kati ya Marekani na Russia.
-
Trump atoa vitisho vikali dhidi ya BRICS kwa hofu ya kuanzishwa sarafu itayoshindana na US $
Dec 01, 2024 02:39Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa vitisho vikali kwa mataifa wanachama wa jumuiya ya BRICS akisema yatakabiliwa na ushuru wa 100% kwa bidhaa zao ikiwa yatajaribu kuanzisha sarafu ya akiba ili kushindana na sarafu ya dola ya Marekani.
-
Ripoti: Uchafuaji hewa utokanao na moto unauwa watu milioni 1.5 kila mwaka
Dec 01, 2024 00:42Watu milioni 1.5 huaga dunia kila mwaka duniani kutokana na uchafuzi wa hewa utokanao na mioto ya msituni huku idadi kubwa ya vifo hivyo ikishuhudiwa katika nchi zinazoendelea.
-
Biden aonekana na kitabu kinachofichua hakika ya kikoloni ya Israel, aambiwa: Umechelewa kukisoma
Dec 01, 2024 00:39Rais anayemaliza muda wake wa Marekani, Joe Biden, alionekana jana Ijumaa, akiwa amebeba kitabu dhidi ya Israel kinachoeleza kuanzishwa utawala huo kuwa ni ukoloni, ambao ulikabiliwa na mapambano ya Wapalestina.
-
Oxford yatangaza: Utawala wa kibaguzi wa Israel unafanya 'mauaji ya kimbari'
Nov 30, 2024 09:01Umoja wa Oxford umepiga kura kwamba utawala wa "ubaguzi wa rangi" wa Israel "unahusika na mauaji ya kimbari" ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Zaidi ya wawakilishi 60 wa Uingereza wataka kuwekwa vikwazo dhidi ya Israel
Nov 30, 2024 08:32Zaidi ya wawakilishi 60 katika Bunge la Uingereza kutoka vyama 7 tofauti wametia saini barua iliyotumwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, David Lammy, wakitaka kuwekwa vikwazo vya pande zote dhidi ya Israel kutokana na ukiukaji wake wa mara kwa mara wa sheria za kimataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Wananchi wa Palestina
Nov 30, 2024 08:18Kwa mwaka wa pili mtawalia Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na wananchi wa Palestina imeadhimishwa huku Gaza ikiendelea kuwa chini ya hujuma kubwa ya mashambulizi ya utawala wa Kizayuni.