-
Kulaaniwa na Jumuiya ya NAM uvamizi wa Israel dhidi ya Iran
Nov 05, 2024 22:44Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), imelaani uovu wa utawala wa Kizayuni na hujuma yake ya makusudi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutangaza kuwa, shambulio hilo ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka na umoja wa ardhi ya Iran.
-
Waziri wa Croatia: Iran ni mfano kwetu wa kuiga wa watu wa dini mbalimbali kuishi kwa amani
Nov 05, 2024 09:02Waziri wa Utamaduni wa Croatia ametoa wito wa kuitumia tajiriba na uzoefu wa wafuasi wa dini tofauti nchini Iran katika kustawisha utamaduni wa kuishi pamoja kwa amani na masikilizano watu wa dini mbalimbali.
-
Malaysia yasisitiza Israel ifukuzwe Umoja wa Mataifa kwa mauaji ya kimbari inayofanya Ghaza
Nov 05, 2024 08:54Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel inapasa utimuliwe katika Umoja wa Mataifa kutokana na ukiukaji haki za binadamu na mauaji ya kimbari unayofanya katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wamarekani washiriki kupiga kura katika uchaguzi wa rais wenye mchuano mkali
Nov 05, 2024 08:47Mamilioni ya Wamarekani wamejitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kote nchini humo leo Jumanne huku mustakabali wa urais wa nchi hiyo na bunge lake la Kongresi ukiwa hautabiriki.
-
WHO yatoa onyo kuhusu matokeo mabaya ya kupigwa marufuku shughuli za UNRWA
Nov 05, 2024 04:09Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema, kupiga marufuku shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) hakufanyi utawala wa Kizayuni kuwa salama zaidi.
-
Hofu ya ghasia za baada ya uchaguzi Marekani, usalama waimarishwa
Nov 04, 2024 23:16Usalama umeimarishwa kote marekani hasa mjini Washington D.C. huku kukiwa na hofu ya kuibuka ghasia baada ya matokeo ya uchaguzi wa rais unaofanyika leo Novemba 5.
-
Kuongezeka dhulma na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani
Nov 04, 2024 22:42Mwenendo wa chuki na unyanyasaji dhidi ya Uislamu na Waislamu umeongezeka sana katika nchi za Ulaya hususan Ujerumani, kiasi kwamba takwimu rasmi zinaonyesha kuwa hali ya kijamii nchini humo inazidi kubana na kuwakandamiza Waislamu.
-
Lavrov: BRICS inataka kuisambaratisha nguvu ya sarafu ya dola
Nov 04, 2024 09:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kundi la BRICS linataka kuanzisha mifumo ya fedha mbadala na kupunguza utegemezi kwa sarafu ya dola.
-
Waingereza waandamana 'Siku ya Balfour' kulaani jinai za Israel Gaza
Nov 03, 2024 02:46Makumi ya maelfu ya watu nchini Uingereza waamemiminika mabarabarani mjini London kushiriki maandamano ya kupinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza katika Siku ya Balfour, kumbukizi ya kila mwaka ya kuadhimisha nafasi ya Uingereza katika kuasisiwa utawala wa Kizayuni mwaka 1917.
-
Medvedev: Russia itatumia silaha za nyuklia ikiwa uwepo wake utatishiwa
Nov 02, 2024 23:02Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Russia, Dmitry Medvedev amesema kuwa Marekani inafanya makosa ikiwa inaamini kwamba Moscow haitatumia silaha za nyuklia iwapo uwepo wake utatishiwa.