-
National Interest: Umewadia wakati sasa kwa Marekani kuacha kuipatia silaha Israel
Nov 02, 2024 23:01Gazeti la National Interest limeandika katika moja ya makala yake kuhusiana na msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Israel na mzigo mkubwa wa gharama hizo unaotolewa na wananchi wa nchi hiyo na kutoa mwito wa kuhitimishwa msaada huo.
-
UNESCO: Mwanahabari mmoja huuawa kila baada ya siku 4 duniani kote
Nov 02, 2024 09:09Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetoa ripoti yake ya kila mwaka leo Jumamosi, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Uhalifu unaofanywa dhidi ya Waandishi wa Habari, likimulika zaidi ongezeko la idadi ya waandishi wa habari waliopoteza maisha wakitekeleza wajibu wao katika miaka ya hivi karibuni.
-
Vifo vya mafuriko vyafikia 205, Uhispania yakubwa na maafa mabaya zaidi katika historia ya sasa
Nov 02, 2024 08:11Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mafuriko ambayo hayajawahi kushuhudiwa nchini Uhispania imeongezeka huku kukiwa na utabiri wa mvua nyingi zaidi, wakati nchi hiyo ikikumbwa na janga baya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya sasa na baya zaidi kuwahi kutokea barani Ulaya katika miongo mitano.
-
Marekani yajipanga kutuma idadi kubwa zaidi ya wanajeshi na zana za kivita Asia Magharibi
Nov 02, 2024 03:03Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetangaza mpango wa kutumwa wanajeshi zaidi wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Trump: Nikichaguliwa tena kuwa rais naahidi "kuzitenganisha" Russia na China
Nov 02, 2024 02:34Donald Trump, mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican ameulaumu utawala wa Rais Joe Biden kwa kuukurubisha zaidi uhusiano kati ya Russia na China, na kuahidi kuwa atayatenganisha mataifa hayo mawili yenye nguvu za nyuklia akichaguliwa tena kuwa rais katika uchaguzi wa Novemba 5.
-
Wafanyakazi 101 wa BBC walituhumu shirika hilo kwa kupendelea Israel katika ripoti za vita vya Gaza
Nov 02, 2024 00:59Zaidi ya wafanyakazi 100 wa Shirika la Utangazaji la Serikali ya Uingereza (BBC) wamelishutumu shirika hilo kwa kusambaza habari zinazoupendelea utawala wa Israel wakati wa kuripoti vita vya zaidi ya mwaka mmoja vya mauaji ya kimbari vya utawala huo dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
-
Uhispania yaomboleza huku idadi ya vifo vya mafuriko ikipindukia 150
Nov 01, 2024 23:26Watuu wasiopungua 158 wamefariki dunia katika maafa makubwa zaidi ya mafuriko nchini Uhispania huku waokoaji wakiendelea na shughuli ya kutafuta manusura.
-
Umoja wa Mataifa: Mataifa 22 yanakabiliwa na hatari ya njaa duniani
Nov 01, 2024 23:25Umoja wa Mataifa umetangaza kuuwa, ghasia, mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na changamoto za kiuchumi zimepelekea njaa na wakati mwingine hali ya ukame kwa mataifa 22, bila kuweko dalili za hali kuimarika ndani ya miezi 6 ijayo.
-
Lavrov: Mkataba wa ushirikiano wa ulinzi kati ya Russia na Iran utatiwa saini hivi karibuni
Nov 01, 2024 03:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia ametangaza kuwa makubaliano ya ushirikiano wa pamoja wa ulinzi kati ya Moscow na Tehran yatatiwa saini hivi karibuni.
-
Ripoti: Washington inapuuza kesi 500 za Israel kuwadhuru raia wa Gaza kwa silaha za Marekani
Nov 01, 2024 03:38Serikali ya Washington imebaini takriban ripoti 500 za raia wa Ukanda wa Gaza kujeruhiwa na kuuawa na vikosi vya jeshi la Israel kwa kutumia silaha zinazotolewa na Marekani, lakini imeshindwa kuchukua hatua yeyote.