-
Katibu Mkuu wa UN: Dunia ichukue msimamo madhubuti dhidi ya mauaji ya kimbari huko Gaza
Oct 31, 2024 23:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuwepo msimamo mkali wa kimataifa dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Utafiti: Waislamu Ulaya waendelea kukabiliwa na ubaguzi
Oct 31, 2024 22:54Waislamu barani Ulaya wameendelea kuandamwa na vitendo vya chuki na ubaguzi katika mataifa hayo yanayopigia debe uhuru wa kusema na kuabudu.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora la kisasa zaidi la nyuklia
Oct 31, 2024 22:49Korea Kaskazini imetangaza kuwa, imefanyia majaribio moja ya makombora yake mapya zaidi yanayokusudiwa kuimarisha vizuizi vyake vya nyuklia, likiwa jaribio la kwanza tangu taifa hilo lilipotuhumiwa kupeleka wanajeshi nchini Russia.
-
Kundi la Umoja wa Mataifa: Israel ilikiuka sheria za kimataifa katika hujuma dhidi ya Iran
Oct 31, 2024 08:05Kundi la Marafiki Wanaotetea Hati ya Umoja wa Mataifa limesema hujuma ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Iran ilikuwa ukiukaji wa wazi wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa, kanuni za kimsingi za sheria za kimataifa na mipaka ya Iran.
-
Takriban watoto milioni 500 wanaishi katika maeneo yenye migogoro duniani
Oct 31, 2024 03:33Katika ripoti yake ya hivi karibuni inayoitwa Stop the War on Children, taasisi ya Save the Children imeripoti ongezeko la asilimia 14 ya vitendo vya ukiukaji wa haki za watoto wanaoishi katika maeneo yenye migogoro duniani kote kwa mwaka 2023.
-
Waungaji mkono wa Palestina wakatiza hotuba ya Harris
Oct 30, 2024 23:06Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wamekatiza hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani na mgombea wa chama cha Democratic, Kamala Harris wakati wa mkutano wake wa kampeni za uchaguzi wa rais huko Washington DC.
-
Biden ataja sharti la kuiruhusu Ukraine kuwashambulia wanajeshi wa Korea Kaskazini
Oct 30, 2024 23:04Rais Joe Biden wa Marekani amesema, vikosi vya Ukraine vinapaswa kuwashambulia wanajeshi wa Korea Kaskazini ikiwa watavuka mpaka na kuingia kwenye ardhi ya Ukraine.
-
Pyongyang kufanyia majaribio ICBM wakati wa uchaguzi wa US?
Oct 30, 2024 23:03Korea Kusini imesema yumkini Korea Kaskazini itafanyia majaribio kombora lake jipya la balestiki, lenye uwezo wa kuvuka mabara la ICBM wakati huu wa msimu wa uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Pentagon: Marekani imejitolea kuiunga mkono Israel dhidi ya Iran
Oct 30, 2024 09:10Jenerali Patrick Ryder, msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon amesema kuwa, Washington inafuatilia hali iliyopo huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiwa na hofu ya kuandamwa na jibu la kijeshi la Iran kutokana na hujuma yake ya hivi karibuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono watu wa Palestina yafanyika katika nchi mbalimbali duniani
Oct 29, 2024 07:15Wakazi wa miji ya nchi mbalimbali duniai wameendelea kufanya maadnamano ya kuwaunga mkono watu wanaohulumiwa wa Palestina na kulaani jinai zinazofanywa na utawala wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.