-
Si UN na WHO pekee, hata waitifaki wa Israel wapinga na kulaani uamuzi wa kuipiga marufuku UNRWA
Oct 29, 2024 03:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amemwandikia barua waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni akisema, ametiwa wasiwasi mkubwa sana na uamuzi wa utawala huo wa kupitisha sheria ya kupiga marufuku shughuli za Shirika la UN la misaada kwa wakimbizi Wapalestina UNRWA na kusisitiza kuwa uamuzi huo haukubaliki.
-
Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama; Israel yabebeshwa lawama
Oct 28, 2024 23:39Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambacho kimeitishwa kwa ombi la Iran kwa ajili ya kujadili uchokozi wa hivi karibuni wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Tehran, kimefanyika huku Israel ikibebeshwa lawama za hali tete iliyopo hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi.
-
Netflix yasalimu amri mbele ya Wazayuni, yaondoa filamu za Kipalestina
Oct 28, 2024 23:36Kufuatia uamuzi wa Netflix wa kutoonyesha tena filamu zake zenye anuani ya "Hadithi za Palestina", kufuatia mashinikizo ya Wazayuni, shirika hilo utiririshaji limekosolewa kimataifa.
-
China: Tunapinga ukiukwaji wa mamlaka ya kitaifa ya mataifa
Oct 28, 2024 07:45Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China amesema kuwa, Beijing inapinga vikali hatua ya kukiukwa mamlaka ya kitaifa ya mataifa mengine.
-
Kuongezeka uhasama na chuki dhidi ya Waislamu barani Ulaya
Oct 28, 2024 03:28Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya ukatili dhidi ya Waislamu katika nchi mbalimbali za Ulaya kumewatia wasiwasi viongozi wengi wa nchi za bara hilo juu ya matokeo ya mwenendo huo.
-
UN: Vita vimeathiri zaidi ya wanawake milioni 600 kote ulimwenguni
Oct 28, 2024 03:19Umoja wa Mataifa umesema kuwa, zaidi ya wanawake na wasichana milioni 600 wameathiriwa na vita katika kona zote za dunia na hilo ni ongezeko la asilimia 50 ikilinganishwa na miaka kumi iliyopita. Maafisa wakuu wa umoja huo wana wasiwasi kwamba ulimwengu umewasahau wanawake huku kukiwa na vilio vikubwa vya kukanyagwa zaidi haki za wanawake kwenye maeneo ya vita.
-
Uingereza inakabiliwa na deni la Pauni trilioni 18 za fidia ya utumwa
Oct 27, 2024 06:41Nchi za Afrika na Caribbean zinafuatilia mpango ambao unaweza kuigharimu Uingereza pauni trilioni 18 kutokana na nafasi yake ya kihistoria katika biashara ya utumwa.
-
Mataifa mbalimbali yaendelea kulaani hujuma ya Israel dhidi ya Iran
Oct 26, 2024 22:59Mataifa mbalimbali yamendelea kutoa taarifa yakilaani hujuma za kijeshi za utawala wa Kizayuni Wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mfalme Charles aungama kuhusu 'sura chungu' ya ukoloni wa Uingereza, miito ya kulipa fidia yatolewa
Oct 26, 2024 02:29Mfalme Charles III ameungama kuhusu "sura chungu" ya utawala wa kikoloni wa Uingereza duniani huku kukitolewa miito ya kulipwa fidia ya utumwa ulioendeshwa na mkoloni huyo mkongwe.
-
Waziri wa Russia: Magharibi inatuibia mabilioni ya fedha zetu, US na EU zinafanya kosa la kihistoria
Oct 26, 2024 02:26Naibu Waziri wa Fedha wa Russia Ivan Chebeskov amesema kitendo cha kuchukua riba inayopatikana kwenye mali zilizozuiliwa za nchi hiyo ili kuipatia mikopo Ukraine ni kinyume cha sheria za kimataifa na kitakuwa na matokeo yasiyotarajiwa kwa nchi za Magharibi.